Mikataba ndio ina haki za pande zote mbili kawaida ukikiuka mkataba kinachofuatia ni hicho kilichotendeka.
Mf. "Mkopo usipolipwa ndani ya siku husika basi dhamana iliyowekwa itauzwa bila taarifa zaidi kwako kwaajili ya kufudia mkopo na gharama zote zilizoongezeka."
Angesoma vizuri mkataba kabla...
Miaka ya hivi karibuni hususani miaka ya kuanzia 2010 mpaka sasa kumekuwa na utamaduni wa kusifia sana wakuu wa nchi badala ya kuleta hoja zitakazo ibua sifa au kuelezea utendaji kazi halisi wa hawa watawala ama viongozi.
Binafsi nikijaribu kuangalia historia ya nchi yetu (TANZANIA) naona kama...
Huu ni mfumo shirikishi wa teknolojia ya kilimo kati ya wakulima na maafisa ugani. Yaani mkilima anajua nini na afisa ugani anajua nini, kabla ya innovation mpya
Hongera kwa simulizi, hongera kwa funzo ulilolitoa. Japo mengine hujataka kutusimulia kutokana na mhusika kutotaka kusimulia zaidi.
Haya mambo yapo kila mahali sema tu huwa tunalindana kusema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.