Recent content by Mkolisayo

  1. Mkolisayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kike atakayenikubali katika hali yangu duni

    Hahahahaa,,,,,mkuuu usipotafuta hela hupati mwanamke hata usimame kanisani kwa maombi miaka 100000,, hupati Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga

    Tujaribu kujikumbusha kidogo,,,hivi sababu zilizofanya Chloroquin kupigwa marufuku kama dawa chaguo ya kutreat malaria ilikua ni ipi!!?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga

    Kwa maana ya kwamba huu ni mwisho wa dunia au? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

    Unaongelea 2020 ipi,,,hiii hiii au ya uzao mwingine wq dunia.....!!?? Kama ni hii mkuu basi naomba nikwambie unaota ndoto ya kutisha san.....amka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Daktari kula chakula na kusikiliza mziki ofisini muda wa kuhudumia wagonjwa?

    Yani we jamaa bhana, hebu tuelewe wew....kwa njaa yake alionayo ulitaka afanye nin.....kaamua kusave time kulia hapo hap bado unalalamika...!!??? Kuhusu mziki hata siwez kuona kama ni tatizo....ofisi nyingi za serikali wanaendelea na kazi huku ndani kukiwa kuna redio zikiendelea kupiga. Sent...
  6. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Ayatollah ashauriwa kuwazuia maujaji kulambalamba madhabahu kuzuia kuenea kwa Corona

    Sifahamu, labda nifanye tafiti Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mkoa na Wilaya Bora ya kuishi kwa utulivu na kuwa na maendeleo

    Tukuyu Mbeya Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mkoa na Wilaya Bora ya kuishi kwa utulivu na kuwa na maendeleo

    Mi mwenyewe amenishangaza sana,,,sijui ameishi Arusha ipi huyo.....Arusha gharama ya maisha sio ndogo wala ya kati Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Video yavuja inayoonyesha maiti kwenye mifuko, kiashiria kuwa Iran imeficha idadi ya waathirika wa Corona

    Libishe hodi mara ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Video yavuja inayoonyesha maiti kwenye mifuko, kiashiria kuwa Iran imeficha idadi ya waathirika wa Corona

    Mbona na wenyew inawarudia sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Video yavuja inayoonyesha maiti kwenye mifuko, kiashiria kuwa Iran imeficha idadi ya waathirika wa Corona

    Iran is going down Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Video yavuja inayoonyesha maiti kwenye mifuko, kiashiria kuwa Iran imeficha idadi ya waathirika wa Corona

    Naogopa hata kuingalia,,,naomba mnisimuli tu kwa maandishi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Hakuna chama tena hapo......ccm sina imani napo tena....chadema ndo kabisa wamejizamisha wenyewe baharini kwa ubinafsi wa mjinga mmoja Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Mbowe, CHADEMA acheni propaganda jibuni hoja za wananchi wa Hai

    Na ndo hivo, kipo kujifia chenyewee.....hamna alie kigusa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mkolisayo

    JamiiForums Tanzania Gladness Kifaluka: Siwezi kumwacha mwanaume kisa amechepuka

    Hebu mwaga sifa za ebitoke hapa....mana anasema yeye mzuri kuliko Miss Tanzania wema sepetu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom