Recent content by mkojo wa bhange

  1. mkojo wa bhange

    Hotuba za Rais zimejaa Hofu na hazina Matumaini

    Just cut him a slack.....the dude is below an average joe.
  2. mkojo wa bhange

    Ujuaji utaliangamiza taifa, mwenye masikio asikie

    Endelea kuamini hivyohivyo...but we have prepared a special package full of suprises for you...invited to televise the new revolution mobie for new tanganyika and zanzibar
  3. mkojo wa bhange

    Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Weweeee...aende clinic kufanya nini? Watu wanavyopatwa na msiba wa kufiwa na wapendwa wao huenda clinic ipi hasa?... ajiongeze fasta ampige chini mama mtoto na mimba na amalizie kwa kufuta namba ya simu ya demu kisha aendelee na maisha...just simple like that..... and that s a HEART OF A MAN.
  4. mkojo wa bhange

    Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Kwanini aombe uhamisho...anaogopa nini hasa au aibu ya nini kwa mwanaume? Wala asiondoke aendelee na maisha hapohapo na akiweza akamate mwalim mwengine aweke ndani ajipatie wana wa damu yake na maunoni mwake
  5. mkojo wa bhange

    Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Sasa unashindwa nini kama mwanaume hapo?... mwambie aende yeye na mtoto wake na mimba yake kwa huyo mwanaume na wewe kiroho safi anza upya...maisha ndivyo yalivyo. unataka kusubiria nini hasa kwa huyo mwanamke aliyezaa na mtu ambaye mpaka sasa wanawasiliana na bado anakuto...mbeya standuppp...
  6. mkojo wa bhange

    kiwanja kimepimwa kinauzwa, kipo Mbweni Mpiji

    Bei hiyo ni bei ya zama za jk..letebei za zama za magu...ondoa sufuri mojawapo katika bei yako tuongee biashara
  7. mkojo wa bhange

    Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

    Sshigongo ni mse....nge....rema kama wengine tuu...HIVI ANAKUMBUKA ALIVYOAMBIWA KUNYWA MAJI MWANANGU?....leo analeta dharau kwa viongozi wetu wa dini eti waongee na muhutu...over our dead bodies....YESU HAKUWAHI KUOMBA HURUMA YA PILATO...kamwe viongozi wa dini hawatompigia goti herode awape...
  8. mkojo wa bhange

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Wee ngosha wa buyenze....hapa hatuongelei viongozi wa upinzani... tunaongelea vijana na watanzania waliochoka na unyanyasaji na ukiukwaji wa katiba unaofanywa na baba jesica....kama itatokea mauaji basi nibserikali itakayouwa raia wa nchi hii... sisi raia tunaandamana maandamano ya amani...
  9. mkojo wa bhange

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Acha tugawane mbao maana mumeshachoka kupanda boti yetu...tutahesabu madhara yake kwa tutakaofika ufukweni. 26th april 2018...
  10. mkojo wa bhange

    Mdogo wangu amekuwa kikwazo kwenye familia hataki kujishughulisha

    EXPLICIT WORDS...PARENTAL ADVISORY... kwanza samahani kwa kutaka uhakiki wa jinsia yako japo huko nyuma umeonyesha ni jinsia NGUMU kama mungu alivyotuumba lakini bado naingiwa wasiwasi na utendajibwako katika kuhandle social issues. Unaonekana una moyo wa kike sana kiasi kwamba napata woga...
  11. mkojo wa bhange

    Why I think he resonates with the silent majority

    Naomba niendelee ku reserve my comments ili nguvu nyingi niitumie 26th april 2018. Aksanteni.
  12. mkojo wa bhange

    Kuhusu hali ya kiuchumi, Serikali ifanyeje?

    Wananchi tunajuwa cha kufanya...tar 26 april beba biblia au msaafu ingia road mpaka kieleweke zaidi ya hapo serikali ituambie imefanya nini kabla ya tar 26 maana tunayo list ya vitu mbadala ila italazimu wakati tunafanya wao wawe watazamaji tu...
  13. mkojo wa bhange

    Best 5 Storytelling Rap Songs

    MwanaFA feat lady jayD...sitoweza kuamka ataponita mola muumba macho mimi nitayafunga
  14. mkojo wa bhange

    MSAADA NAMTAFTA MCHUNGAJI Gideon Parapanda

    Njoo dar sehemu moja inaitwa savei ana kanisa lake huko
Back
Top Bottom