kiwanja kimepimwa kinauzwa, kipo Mbweni Mpiji

pmkobar

Member
Feb 16, 2011
26
10
kiwanja kinauzwa mbweni Plot number 179 block 4 Mbweni mpiji kiwanja kipo karibu na soko yaani mbele ya soko na pia kipo karibuni na shule ya msingi na viwanja vya michezo, ni sehemu nzuli sana kwaajili ya biashara yaani kuweka frem na kupangisha au makazi.be ni 40,000,000 maelewano yapo.

contacts: 0654545750 au 0687998463
 
Attachments

  • IMG-20170105-WA0007.jpg
    IMG-20170105-WA0007.jpg
    17.9 KB · Views: 84
kiwanja kinauzwa mbweni Plot number 179 block 4 Mbweni mpiji kiwanja kipo karibu na soko yaani mbele ya soko na pia kipo karibuni na shule ya msingi na viwanja vya michezo, ni sehemu nzuli sana kwaajili ya biashara yaani kuweka frem na kupangisha au makazi.be ni 40,000,000 maelewano yapo.

contacts: 0654545750 au 0687998463
Sorry Mkuu,
Kutoka hapo Kiwanjani mpaka kwa Kina Man Dojo pana umbali gani??
 
kiwanja kinauzwa mbweni Plot number 179 block 4 Mbweni mpiji kiwanja kipo karibu na soko yaani mbele ya soko na pia kipo karibuni na shule ya msingi na viwanja vya michezo, ni sehemu nzuli sana kwaajili ya biashara yaani kuweka frem na kupangisha au makazi.be ni 40,000,000 maelewano yapo.

contacts: 0654545750 au 0687998463
kina ukubwa wa sq meterz ngap
 
Angalizo muhimu kama unataka kununua kiwanja huko Mbweni bora uenende kipindi cha masika viwanja vingi vinajaa Maji sana... Buyer be aware.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom