Kabisa kabisa
Wamezidi aisee, Yaaan Walimu wametufanya sisi wazazi ATM michango kila siku, hela za mitihani n.k Serikali iingilie hili swala yaani Ssasa hv shule za private zina afadhali kuliko za Serikal
Mfano mzuri kuna shule hapa Chanika zinaongoza kwa walimu kufosi king
Yaani wao...
Wenzetu hapo Kenya na South Africa wanatumia Eneo kidogo tu kufanya hii biashara Ila sasa gharama naona itakuwa kubwa Kama utawalisha Pumba tu na vyakula vya kununua bila Nyasi
Mm nakubaliana na ww kwenye Eneo ni sawa kabisa Ila sio kwenye ukuaji bali ni kupunguza gharama za malisho
BIASHARA YA KUNENEPESHA NG’OMBE,MBUZI NA KONDOO KISHA KUWAUZA ( CATTLE AND GOAT FEEDLOTS
Habarini wana Jamvi naomba kushare hili jambo kidogo tupate elimu,ushauri na changamoto zake.
Kuna Hii biashara ya kunenepesha Mifugo hasa ng’ombe na Mbuzi Kisha kuwauza nasikia inalipa sana na inafaida...
Sishabikii upande wowote iwe Israel au Iran
Ila Israel alikuwa amejiaanda kwa shambulio la juz na alikuwa na taarifa za kutosha (intelligence) kuhusu hawa viongozi wa kijesh wa Iran wapi walipo tena inawezekana walikuwa kwenye meeting ndio maana kawaua kirahisi namna hii.
Wakati wa shambulio...
ITS THE GAME OF CHANCE.
Yaaah perfect chance ambayo Israel na Marekani waliyonayo kwa sasa kwa sababu kuu Mbili
1. Washarika wa karibu wa Iran yaan Russia na Syria tayari wamepunguzwa makali (Kivip?)
Russia ipo busy na Vita vya ukraine kwa mwaka wa nne sasa unakaribia. Nguvu na akili yote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.