Nakushauri mpeleke ahmes japo ni mixture but elimu atakayotoka nayo sio ya nchi hii haijawah shuka top 5 kwa advance na o level but ni wazo tu nmesomea hapo ni juhudi kubwa za walimu na non teaching staff zinatumika
Kwa kwel kile chuo kilinishida Kwanza mavazi,unyoaji,taratibu zooote ni za kidini kila kitu kilikua kikwazo kwangu sikuwah kuona sura ya mwanamke hata mmja wote wamejifunga ninja sasa inakua kama Advance Pale nadhani kuna Fimbo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.