Recent content by mkisoka

  1. mkisoka

    JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Moyo wangu umehuzunika sana kwa kifo cha Mwlm wangu mpendwa Bro. Peter Lyimo, pumzika kwa amani mwalimu. Ntabaki nakumbuka usemi wako mkubwa wa "Punctuality in the morning" nawaza pia kama mzee Rama naye (mlinzi wa getini) angekuwa hai vile ambavyo angelia kwa uchungu kwa jinsi ulivyokuwa...
  2. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri walimu hewa(?) Ushahidi huu hapa...

    Aisee. hii siriqal inayokusanya kuliko zote Mungu anaiona
  3. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Faida za kuwa Polisi, JWTZ au Usalama wa Taifa

    Hizi ndo mada na uandishi wa jamii forum ya leo
  4. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndo Rais wetu - safari za nje haendi wala ziara za ndani hafanyi

    Serikali inayokusanya mapato kuliko zote
  5. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa: Uongo wa Brittanica na vijana wa Lumumba juu ya Barrick na USD Millioni 300

    Daaah! kwahyo alidanganya kwa faida ya nani? ili iwe nini? alafu baada ya hapo iweje yani?
  6. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Zitto kutaka kujiteka ni nzito, aeleze Umma kulikoni

    defencing mechanism
  7. mkisoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Simulizi muruwa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

    kapa
  9. mkisoka

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi ashinda Urais. Mgombea mwenza apinga matokeo hayo

    Bara letu pendwa Africa na vimbwanga vyake
  10. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ilala (CCM) Mussa Zungu: Wafanyabiashara wamekimbia nchini Tanzania kutokana na kukosekana kwa mazingira rafiki katika masuala ya kodi

    ]Uzushi wa kiwango cha lami..weka clip tusikie wenyewe ukiwekewa hyo clip sijui utajisikiaje, sijui utateteaje hiko ambacho unakidefence kwa kukiita uzushi
  11. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Hali ya maisha Tanzania ni ngumu sana mpaka imekuwa "Hatarishi"

    huyu naye si aliungamkono JUHUDI
  12. mkisoka

    JamiiForums Tanzania Wagombea Ubunge wa CCM Simanjiro, Babati Mjini na Ukerewe wapita bila kupingwa

    Nilicheka sana ilipotamkwa hiyo sentensi
  13. mkisoka

    JamiiForums Tanzania EU yakanusha taarifa ya Balozi Van de Geer kutakiwa kuondoka nchini Tanzania

    Tutaelewa tu japo kwa kuchelewa
Back
Top Bottom