Recent content by MkimbizwaMbio

  1. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    hivi yale maandamano ya waislamu kuhusu NECTA yameishia wapi? Nasikia viongozi wao wamevuta mlungula wameamua kukaa kimya
  2. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Laptops and Mobile phones for sale

    Haupo Serious. SONY VIAO Model Ipi?????
  3. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini watu hawaipendi TRA?

    Wanasumbua walipa kodi badala ya kuwapa moyo wa kulipa kodi. Mfano ukitaka TIN Number inabidi uwanyentyekee badala ya wao kukunyenyekea wewe.
  4. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini watu hawaipendi TRA?

    Mishahara ya Watumishi wao haifuati scale za Serikali kama ofisi zingine za Serikali.
  5. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini watu hawaipendi TRA?

    Hawatendi haki. Hawakusanyi kodi kwa matajiri, kazi yao ni kufyonza maskini.
  6. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Live updates: Taifa Stars Vs Gambia

    hii tv ya ccm vipi ?? Mbona wanapiga story tu? Tbc1 safari bado ndefu
  7. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    tena wauaji wakubwa amesahau kusema hilo
  8. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    hajakosea ingawa na yeye ni gamba.
  9. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    sasa umeandika au umeharisha? Mbona hueleweki?
  10. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania mkuu wa it baraza la mitihani asimamishwa kazi.

    Kuropoka ruksa mdomo ni wako
  11. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Aibu tupu
  12. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Hutokuja kushuhudia kusombwa kwa watu mikutano ya chadema. Hiyo ni mbinu ya ccm pekee. Usipotoshe watu hapa
  13. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Kuna wakina mama wamejaa hapa ccm sinza wanakunywa chai na vitumbua waje hapa
  14. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Matumaini yatakuwa makubwa sana. Si unaona vichwa vilivyopo? Sasa wasira, lusinde, nape ataisadia nini nchi hii???
  15. MkimbizwaMbio

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Kweli ccm inawadharau wajinga wake. Wanafanywa kama mizigo . Wanashushwa kama magunia ya vitunguu jangwani.
Back
Top Bottom