Recent content by Mkiliman

  1. Mkiliman

    Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

    WAZO: 1. Badilisha Katiba ya nchi ili itoe ruhusa ya matokeo kupingwa mahakamani; 2. Badilisha Katiba ili itoe ruhusa ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi ambayo Rais hatakuwa na mamlaka nayo kwa jambo lolote hususani kuteua wajumbe wake kupitia chombo chochote ambacho kinasimamiwa na watu ambao...
  2. Mkiliman

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Ingependeza sana kama Mhe. Spika angeonyesha "AMRI YA ZUIO LA MUDA (TEMPORARY INJUNCTION) KUTOKA MAHAKAMA KUU" ambapo Bunge lingezuiwa kutekeleza matakwa ya Katiba kwa lengo la kupisha usikilizaji wa shauri la msingi.
  3. Mkiliman

    Waziri Bashungwa na Dkt. Abbas muwe makini na kiki ya Yanga itawatokea puani

    Mkuu, kwa dhati ya moyo wako kabisa, unataka kutuaminisha kuwa kuna mtu au taasisi (private or public) yoyote ambayo inaweza kukaidi (privately or publicly) maagizo (maelekezo) ya serikali katika nchi yetu bila kujali yanafaa au hayafai? Nafikiri ni heri kuunga mkono wito wa PM kuwa tuwe...
  4. Mkiliman

    Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Mkuu, kwa hiyo, ulitaka ubadhirifu wa TZS 3.6 Bilioni hapo TPA upite bila DG kuwajibishwa? Hadithi yako haikubaliki kamwe.
  5. Mkiliman

    Katiba inasemaje kuhusu uteuzi wa Bashiru Ally?

    Mkuu, imekaa hivi: 1. Neno "Katibu Mkuu Kiongozi" halijaandikwa mahali popote kwenye Katiba ya JMT, 1977 (as amended); 2. Ibara ya 36 (1) na (2) ya Katiba ya JMT, 1977, inampatia mamlaka Rais kufanya uteuzi wa nafasi mbalimbali za watendaji wakuu wa serikali ikiwemo "Katibu Mkuu Kiongozi "...
  6. Mkiliman

    Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

    Sheria mama, Katiba, inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana ili kuweka mifumo huru na imara ya uchaguzi ambapo maamuzi ya wananchi yanaweza kuheshimiwa na sio vinginevyo.
  7. Mkiliman

    GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Thanks for this advice, I've just gotten my app and continue to enjoy Twitter services.
  8. Mkiliman

    Jumla ya fedha zilizotumika katika miradi ya maendeleo katika Jimbo la Nyasa, Ruvuma chini ya Mhe Eng. Stella Manyanya

    Mkuu, hebu muulize huyo Mama Manyanya kuhusu maeneo ya Lituhi, Liweta, Ndumbi, Lundu, Hinga, Mbuli, Ngumbo, Mkili, Yola, Nindai na Tawi kama kuna huduma zifuatazo:- 1. Maji ya bomba; 2. Barabara walao za changarawe (habari za lami ni jambo tete) zinazoweza kutumika nyakati zote; 3. Masoko ya...
  9. Mkiliman

    GE2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

    Ushauri wa kutaka mtu/watu wakariri vitu ambavyo wameandaa wenyewe? Ni ajabu sana, ukiwa umeandaa kitu kwa mikono yako, huhitaji kuchukua hata kipande cha karatasi ili kujikumbusha yale uliyoandaa wewe mwenyewe. By the way, wasomi wazuri huwa hawategemei kudesa never.
  10. Mkiliman

    GE2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

    Kwa sababu hujataka kutaja jina la mtu ambaye unafikiri angefaa zaidi kushika kibendera kwa niaba ya chama ulichotaja, basi, nafikiri mtoa mada wetu unatakiwa uwe ni mtu mwenye furaha kubwa sana wakati huu kwa kitendo cha chama ulichokitaja kuweka mtu ambaye unadhani ni dhaifu na asiye na maono...
  11. Mkiliman

    Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

    Ni tangazo lisilokuwa na afya njema kabisa kwetu sisi ambao huwa tunapenda kusikiliza taarifa za habari pamoja na vipindi mbalimbali kutoka katika redio za mashirika ya kimataifa, hususani VOA, BBC na DW, kila inapofika saa 12 asubuhi, saa 7 mchana na saa 12 jioni hadi saa 2 usiku.
  12. Mkiliman

    GE2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

    WhatsApp group ni wanachama 257. Pia, kama kuna link imetengenezwa, watu wanaweza kujiunga wengi zaidi.
  13. Mkiliman

    GE2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

    Kimekusibu nini hadi kutuandikia mambo haya? Ingefaa sana kama ungetoa elimu ya uraia kuhusu sifa za mtu anayefaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzingatia masharti ya Katiba na sheria zilizotungwa na Bunge letu tukufu. Hata hivyo, uliyotuandikia ni sehemu ya haki yako ya...
  14. Mkiliman

    Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    My friend, I want to assure you that you're very correct that what I've written is according to my own view and not according to someone's view. I want you to understand that I admire Mr. Lissu for his unwavering fight for changes in our country. Regardless of the admiration that I may display...
  15. Mkiliman

    Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

    Not only Mr. Tundu Antipasi Lissu who deserves our prayers but also any person matters in this country including our President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli. For biblical purposes, all two persons mentioned herein are human beings who need our utmost prayers.
Back
Top Bottom