Unaqeza kuwa mkubwa lkn mjinga, hvy mdogo lzm akuongoze.Hapo swali ni.
Je Yanga na Serikali nani mkubwa?
😂😂😂😂 Mr Mishavu anavaa miwani.Mlitaka kumfurahisha mama kwa kusogeza mechi mbele ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi pia kumpa mama nafasi ili aje uwanjani. Kiki hii iligonga mwamba.
Kiki ya pili mnataka kuwapa lawama Yanga na TFF wakati UJINGA mmeufanya nyinyi wizarani. Hii kiki ya pili nayo itawatokea puani. Msijaribu kuwapa adhabu Yanga wala TFF, pigeni kimya mmeshalikoroga na watu wote wanajua nyie ndio wachawi wawili ( Domo-Chaijaba na Mr.Mishavu).
Kama mna hekima hata robo ombeni msamaha kwa watanzania pia muweke mambo sawa hela zao zinarudi vipi.
Chai jaba ni Bashungwa, na mishavu ni Abas.Chaijaba na mishavu ni nani? Uzi mzuri lakini hapo kuna ukakasi wa maneno
Pamoja na huu uhuni uliofanywa na viongozi wa serikali lakini aliyefanya kosa kubwa kuliko wote ni Viongozi wa TFF.
TFF walikuwa na uwezo wa kukataa katakata kuairisha au kusogeza mbele muda wa mechi kwa maslahi ya mchezo wa soka.
Kwa kuwa kikao cha mwisho cha mechi (Pre match meeting) kilishafanyika hakukua na namna ya mechi hiyo kusogezwa.
TFF imetuangusha kwa kusikiliza ushauri wa ovyo kutoka kwa watu wasiojua mpira
Hatuna details na hatujui ni pressure kubwa kiasi gani viongozi wa TFF walikuwa subjected tu na labda walipambana vipi.Pamoja na huu uhuni uliofanywa na viongozi wa serikali lakini aliyefanya kosa kubwa kuliko wote ni Viongozi wa TFF.
TFF walikuwa na uwezo wa kukataa katakata kuairisha au kusogeza mbele muda wa mechi kwa maslahi ya mchezo wa soka.
Wizara ina mbavu gani za kuziadhibu club?Mlitaka kumfurahisha mama kwa kusogeza mechi mbele ili watu waangalie uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi pia kumpa mama nafasi ili aje uwanjani. Kiki hii iligonga mwamba.
Kiki ya pili mnataka kuwapa lawama Yanga na TFF wakati UJINGA mmeufanya nyinyi wizarani. Hii kiki ya pili nayo itawatokea puani. Msijaribu kuwapa adhabu Yanga wala TFF, pigeni kimya mmeshalikoroga na watu wote wanajua nyie ndio wachawi wawili (Domo-Chaijaba na Mr.Mishavu).
Kama mna hekima hata robo ombeni msamaha kwa watanzania pia muweke mambo sawa hela zao zinarudi vipi.
Kweli kabisa.Tanzania kila taasisi ni Tawi la serikali. Hakuna sehemu yeyote ina uwezo wa kupinga maamuzi ya serikali.
Tatizo linakuja kwamba hiyo Serikali ina wasemaji na watoa maamuzi wengi. Kila mwenye madaraka ana kauli. Ndio maana kila siku matamko yanatolewa na kukanushwa.
Maelekezo kutoka juu. TFF wapo sahihi.Hatuna details na hatujui ni pressure kubwa kiasi gani viongozi wa TFF walikuwa subjected tu na labda walipambana vipi.
Barua ya TFF ukiicheck between the lines unaweza kuona kitu. Maneno haya “TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda kutoka Wizarani” sio ya kubeza. Huenda hakukuwa na room ya kureason out na wale watu waliocram kumfurahisha boss wao.
Yanga wamefanya sawa kabisa. Lazima tukokeshe huu utaratibu wa watu Serikalini kujiamulia tu kukanyaga kanuni na vifungu vya Katiba
Itabidi CAG aingilie katiKibongo bongo huu wote ulikuwa mkakati wa kupiga hela. Mtaongea mwisho wa siku wahusika washachukua mpunga wao.
Mechi haijachezwa hivyo simba waliopaswa kuchukua hela hawatopewa. Hakuna dalili za pesa kurejeshwa kwa kila aliekata ticket hivyo hiyo ni ushindi kwa waliopanga mkakati wote huu. Karibu Tanzania, mwenye kuwahi siku zote ndio mshindi.
Kwa hio nani mwenye pesa kati ya yanga na serikaliTusubiri tuone. Serikali imeanza 1961 Yanga imeanzishwa 1935.
Mkuu una maana gani!!!!! Serikali imeanza 1961 - Kuongoza Nchi na Yanga imeanzishwa 1935 - kucheza mpira wa miguu. Ebu tupe mantiki ya maono yako.Tusubiri tuone. Serikali imeanza 1961 Yanga imeanzishwa 1935.
Kwa mantiki hii, viongozi wa TFF wapo ofisini mpaka sasa wanafanya nini?Hatuna details na hatujui ni pressure kubwa kiasi gani viongozi wa TFF walikuwa subjected tu na labda walipambana vipi.
Barua ya TFF ukiicheck between the lines unaweza kuona kitu. Maneno haya “TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda kutoka Wizarani” sio ya kubeza. Huenda hakukuwa na room ya kureason out na wale watu waliocram kumfurahisha boss wao.
Yanga wamefanya sawa kabisa. Lazima tukokeshe huu utaratibu wa watu Serikalini kujiamulia tu kukanyaga kanuni na vifungu vya Katiba