Recent content by mkerewe halisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa; Viwanja vya saba saba Magu-Simiyu

    Acha kumshushia mungu heshima,siyo fisadi kama mamvi .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi mmemsikia Edward Lowassa?

    wewe na lowasa ficheni ujinga wenu msifikiri watanzania wote wapumbavu.hata kama unatafuta kura si kwa ulaghai kiasi hicho.funguka kama kweli wewe ni msomi usiwe mchumia tumbo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hawa ndugu zangu wana tatizo Kubwa kuliko nilivyodhani awali...

    Haya tuseme picha za tarehe tofauti je yeye huyo mtafiti?kama ni yeye basi msikimbilie hoja dhaifu za tarehe na makandokando yake.hapo tu utafiti unakuwa maana kama ni MTU huyo huyo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nakasirika kijana chini ya miaka 45 kushabikia CCM

    Wewe darasani kwenu inaonekana ulikuwa kilaza sana.ficha basi ujinga wako?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva kuandika historia mpya ya Tanzania

    Siyo jokes ni shemeji yake lowasa kweli.mbona inajulikana na ole wake atumie ushemeji kutuharibia nchi
  6. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA sasa IKAWA?

    Kinachowaponza hamtaki kuelezwa ukweli.subiri baada ya oktoba utamwelewa mwanakijiji ambaye baadhi yenu mnasema anaishi ughaibuni wakati tuko nae huku uswahili.shame on you
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Watu wa aina yetu kawaambia mkaboost akili.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Lowassa, kwaheri CHADEMA...

    Sikiliza mkutano wa ACT. Nimeanza kuamini nyie ni wapumbavu na malofa wala Mkapa hakukosea.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Lowassa, kwaheri CHADEMA...

    Na kamwe huwezi kuwa mods maana akili yako haiwezi kuchanganua mambo unafata upepo.Kwani shule mnafungua lini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Lowassa, kwaheri CHADEMA...

    Nachelea kusema jambo maana sijui umri wako laiti ningejua ningekueleza.una matatizo mkubwa ya ubongo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

    Wewe ni mfuasi wa lowasa kwa msingi huo huwezi kujikunyata kwenye blanketi la eti mwanaharakati wa demokrasia.umeshashusha heshima ya uchambuzi humu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jk alipewa urais na Lowassa sio kura za wananchi

    Ulikuwa hujamwelewa tu mkapa?alimaanisha maana anawafahamu vyema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Lowassa anautaka urais, basi leo 29 Agosti afanye hivi!!

    Umeandika vizuri tatizo ni kwamba hataweza kusimama kwa nusu SAA kueleza hayo?kwa huo wingi wa watu ataendeshwa na mihemko na jaziba matokeo yake mambo ya msingi kama uliyosema hatazungumza.ata generalize mambo utashangaa.subiri uone.muda mwingi watautumia viongozi wa ukawa kuitukana na kujibu...
Back
Top Bottom