That is obvious!
Kama mtoto anazaliwa anakosa hizo nguvu mpk akue, likewise mtu akizeeka anapungukiwa kwayo. Ndiyo maana watu husema mtoto mchanga ni sawa na mtu mzee. Maana wote ni wakusaidiwa tu.
Ukiona hivyo ujue keshazidiwa kete na anamuogopa huyo demu. Aki delay further atalishwa nyama ya kabatini. Na hapo ndo itakuwa basi tena [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Inategemea jinsi ulivyoanza kunywa pombe. Vinginevyo itakuwa ni kama wale wala mihogo, mara pweza, mara nazi. Sasa umeambiwa pombe nayo uache.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.