Recent content by mkeli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kutoa majibu kati ya CAG na Wizara ya fedha?

    CAG ameshamaliza kazi yake hapaswi kuongea tena. Ameshanaliza na ameshatoa report.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kutoa majibu kati ya CAG na Wizara ya fedha?

    Kukaa kimya juu ya jambo ambalo hulijui ni busara pia. Ndugu ni bora ukabaki maana inaonekana hujui uhasibu wa ukaguzi kwa hiyo hapa utatusumbua kukuelewesha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kutoa majibu kati ya CAG na Wizara ya fedha?

    CAG ameshahoji hakupewa majibu ndio maana amelitaka Bunge sasa lihoji.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kutoa majibu kati ya CAG na Wizara ya fedha?

    Mkumbuke serikali huaanza kupanga bajeti ikisha ndio hutafuta pesa kwa ajili ya kuzitumia ni tofauti na kwenye private budget ambayo hupangwa kwa mujibu wa fedha zilizopo na kujaliziwa kwa fedha za kukopa. Ikiwa serikali imekusanya 25 trilioni maana yake matumizi yake yatakuwa ni hiyo 25...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kupotea 1.5 Trilioni, mkanganyiko asilia kihasibu na wachumi

    Suali jepesi la kujiuuliza ina maana haya maelezo aliyotoa naibu waziri jee hayukuwepo wakati wa exit meeting na CAG? Jee CAG hawana uelewa wa tofauti ya cash basis na accrual basis? Kwanini CAG atoe hati chafu yaani modified opinion kwenye consolidated financial statements za serikali bila ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukwaju ni kiboko ya kitambi

    I am very serious. Ukwaju ni mzuri sana kwa kutibu ini na hata kuondoa constipation lakini kwenye mambo mengine una madhara
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukwaju ni kiboko ya kitambi

    Ila ukwaju unapunguza sana uzalishaji wa sparms na nguvu za kiume kwa ujumla wake
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume unene sio mzuri kwenu. Kwani ukinenepa sana matokeo yake ndo unabaki na kibamia

    Hii ishu ya vibamia naona ni kama vile watu wanamkufuru Mungu. Hivi mwenye kibamia alikwenda kumuomba Mungu ampatie hiyo size? Na huyu ambae ana bilinganyi jee yeye ndio kapata kwa sababu mjanja sana au inakuwaje? Mungu anachokupa ndicho alichokiona yeye kinakufaa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo kikuu lakini nimekata tamaa na maisha

    Kuwa mwanasiasa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

    ziara ya mfalme wa morroco ni kweli ilikuwa na lengo la kutaka support juu ya mzozo wa sahara magahribi lakini msimamo wa Tanzania bado uko vile vile licha ya jamaa kujaribu kufanya ushawishi. Tanzania imejengwa kwenye misingi ya Utu. Na support ya Palastine ni kwa msingi huo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

    msimamo wa Tanzania dhidi ya israel uko wazi miaka na miaka tokea enzi za Nyerere na hiyo sera haianwahi kubadilika. Kama ambavyo haujabadilika msisimamo kuhusu jimbo la Biafra na Sahara ya Magharibi dhidi ya Morroco. Israel hawana tofauti na Makaburu wa Africa Kusini na huu ndio msimamo wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais angepata taarifa ya kura ya UN kuhusu Jerusalem,angemuunga mkono Trump. Ujuaji wa Wizara ndio umetuponza

    wakiristo wengi hawaijui Israel na wala hawataki kujifunza historia. Anyway chuki dhidi ya uislam na waislam inawafanya wawatukuze hawa viumbe lakini undani wake ni kwamba wayahudi kwao wao waislam na wakiristo wote ni maadui zao na ndio ukaona hata huko Palestine wanaochakazwa kwa mabomu na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    kwa mtu ambar amewahi kusoma international finance na treasury management ataelewa sana haya yanayosemwa hapa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kubwa Lulu kupata Msamaa wa Rais

    ile ni manslaughter sio murder case
Back
Top Bottom