Recent content by Mkebora

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa, mkuu uwe na siku njema
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu simwelewi

    Hahaha nakusubiria wewe ndie unafaa hasa kuwa mke mwenzangu, maana una vigezo vyote, vya kuchambua majirani
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu simwelewi

    Kuulizwa unapika nini na umenunua kiasi gani nayo imekuwa kesi? wengine wanauliza ili wapate ufaham wajichangishe wakatafute vya kwao, ukitaka usiulizwe kaishi masaki mama, sipati picha ukiishi nyumba yenye watoto alafu waombe kuangalia TV kwako
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Na hapo ndio ambapo siwaelewi na sitawaelewa wanaona haki house girl kumpigia baba na kumuuliza yuko wapi, na kumuomba vocha, tena haousegirl wa siku 3 mazoea aya yanatokea wapi? hii inawezekana kabisa ikawa ni sawa kwa wengine lakini kwangu sio sawa, mimi mwenyewe hajanipigia simu akaniuliza...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Nimekuelewa kabisa, asante kwa mchango wako
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Mpumbavu ni wewe tena mpuuzi, na mse...... malizia hapo ili ujipe raha, unakurupuka tu domo limechacha unakuja na maneno ya machafu uku, mbwa we
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana yake huwa ni nini?

    Wanaume wanapenda ubabe, yaani ile ya mimi mwanaume bwana, kwaiyo lolote atakalofanya yeye mwana ume na anajihalalishia kuwa ni haki yake kufanya, na ndio maana wanatuletea changamoto sana
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Ungeniuliza ili nikufahamishe usihisi wakati mkebora nipo na naweza kukujuza, mume wangu anajimudu anabiashara zake na wala hanitegemei kwa matunzo yoyote,
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Hujaona baya waliloongea sababu huyu sio mumeo, mimi mwenye mume nimeona baya waliloongea, kwann house girl ampigie simu mume wangu na amuulize uko wapi? na naomba vocha nataka kuwasiliana na nyumbani? huwezi kumuuliza mtu uko wapi kama hauna mazoea nae, unaanzaje kwanza? umekutana nae siku 2 tu...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Eli79 sijui kama ulinisoma vizuri, nilisema alishuka njiani, kushuka njiani na kumwacha njiani ni mambo mawili tofauti, sikumshusha bali alishuka, na nilimuita lakini hakurudi ulitaka nimsubiri au nimfuate? gari ya kwangu na yeye ana ya kwake, na ata kama ningekuwa naendesha ya kwake na akashuka...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Nimekuelewa Mshua asante kwa ushauri wako, ubarikiwe kwa busara na hekima hii iliyokujaa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    wewe ndie una kiherehere ulitaka niangalie simu yako wewe? usikute mwanaume unaandika hayo itakuwa hasara kwa mkeo maana umeandika kimipasho sijui wa jahazi modern wewe
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Asante kwa ushauri ndugu
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Ulikuwa unategemea kupata ushahidi upi zaidi ya hapo? ushatishiwa kuuwawa huendi police unasubiri kuuwawa kwanza? kuna mambo mengine sio ya kuyasubiria sana kwasababu unapoyasubiria yanaweza kuleta madhara makubwa zaidi
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Nami sijawaelewa hao wa ningoje ushahidi, nadhani mimba ndio ungekuwa ushahidi, ziba ufa usisubiri kujenga ukuta
Back
Top Bottom