Recent content by Mke wangu ananitesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana, uoga ni ishara ya umaskini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu nipo jamii forum Toka 2015 nafatilia huu Uzi MUDA sana Nina experience ya kujua mambo madogo madogo kutoka kwa mabraza humu pia nimejiandaa MUDA mrefu sana toka nipo chuo mwaka wa pili Nina maswali kada yangu zaidi ya 3000 aptitude test yapo kichwani, learning theories, communication...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mm saili Moja tu nafanya naingia kazini nmejiandaa muda mrefu kwaajir ya kuwakanda utumish nitasema siku nikiitwa usaili na ntaleta mrejesho sitafanya Saili mara mbili
  4. M

    JamiiForums Tanzania DINI INAYOONGOZA KWA MAUJI YA WATU WENGI DUNIANI NI UKRISTO, DATA HIZO HAPO

    Huu uzi usipofutwa ntatoa vocha za bure za elfu 20
  5. M

    JamiiForums Tanzania DINI INAYOONGOZA KWA MAUJI YA WATU WENGI DUNIANI NI UKRISTO, DATA HIZO HAPO

    📊 MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi) ✅ 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries): Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni: WWI (1914–1918) WWII (1939–1945) Vita vya ukoloni Afrika na Asia Vita vya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sio Utan ni kwel
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwamara ya kwanza nategemea kuanza kuomba Kaz utumishi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nmeweka cheti hicho, je kipo sahihi au naweza badilisha ( Ajira Portal)

    Duh kaka mbona povu jingi hzo ni mbwembwe tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nmeweka cheti hicho, je kipo sahihi au naweza badilisha ( Ajira Portal)

    Wazoefu wa mfumo wa AJIRA portal naombeni msaada kweny hili jamani ili nojue lakufanya mapema
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jaman hichi cheti naweza tumia AJIRA portal bila muhuri mwngine wa mwanasheria
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Naombeni msaada katika kuandika CV Mimi ni mpya Ajira portal
Back
Top Bottom