Sidhani Kama Wema anaumia. Nahisi kwake yeye ni Kama ule msemo usemao kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Yeye ndo kaacha, I believe alikuwa na plan yake. Hakuacha kiolelaolela.
[QU OTE=HarakatiNews;12322467]Kama hukuona kilichotokea bungeni nakuwekea video clip hapa
Asante sana. Aisee nilikuwa mbali nashukuru umetuma. Uchaguzi mwaka huu patashika.
Hi wewe upo sawa kweli. Katiba ni ya nchi nzima na si waislamu au wakristu. Hii nchi haina dini. Katiba inatakiwa iwe neutral. Si kwamba tunapenda kuingilia dini yenu, asisheni hiyo mahakama wenyewe bila kuhusisha serikali, why mnapenda vya bure. Hata wakatoliki wana mahakama Yao, umeona wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.