sio wakati wa kulalamika ni wakati wa kuangalia ni jinsi gani utaweza kupambana na maisha halafu umesema unamkopo uliolea nini? au kama vipi acha kazi na unakoelekea utakuwa tapeli,kwel kazi ya ualimu ina mshahara mdogo ila kuwa hata mjasiriamali
njia nyingine bonyeza menu>ok>dvbs installation>ok>tp list>ok>kuna page itatokea kwenye tv yako yenye frequency za tp list kisha bonyeza kitufe cha bluu kwenye rimote yako kuna kiboksi kitatokea katikati ya tv yako kisha bonyeza ok kwenye kile kiboksi acha mpaka ionyeshe chanel scan complete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.