Wizi uliosemwa na huyu bwana MdogoWenu hauna proof,ingekuwa vizuri angewataja kwa majina,ikiwezekana akaandika na Barua kwa uongozi wa juu wa NSN an VODACOM,akiambatanisha kwa wakuu wa usalama wa nchi hii,kama kweli ana ushahidi wa kutosha wa wizi huo.mbali na hapo si busara kuwaita wafanayakazi...