lane
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 909
- 514
Habari Wana JF wote popote mlipo,
Kwanza kabisa kwa wenzangu wa Arusha na watanzania kwa ujumla nawapa pole nyingi kwa mabomu na mateso mnayoyapata. Niseme tu kwamba demokrasia ina gharama yake na labda ndio tunalipa gharama yenyewe kwa namna hiyo. Ila Mungu atupe hekima na uwezo tuweze kuvuka haya majaribu makubwa katika historia ya nchi yetu.
Back to the topic ambalo kimsingi ni swali, Ni hivi, kuna kifaa nataka kununua kutoka kwa kampuni moja ya kimarekani, which cots nearly 31,000 USD na niliona huduma zao online kwenye website yao. Sasa tumesha-negotiate price na tumekubaliana swala ni kwamba natakiwa kufanya malipo. Hofu niliyo nayo ni kutapeliwa.
In fact I just passed-by katika ubalozi wa Marekani hapa Dar es Salaam kuulizia kama wanaifahamu hiyo kampuni. Kwa kweli walichonijibu kilizidi kunikatisha tamaa. Walisema kwamba wao kama wao hawawezi kuifahamu kila kampuni ambayo iko registered marekani na kwamba waoa wanataka mimi nikaulizie kwenye ofisi na wizara ya mambo ya nje ya Tanzania. Pili wakaniambia kwamba mara nyingi sana watu walikuwa wanakuja kwao baada ya kulalamika kwamba wameibiwa baada ya kulipa pesa zao. In fact waliniambia kwamba kuna mtu wiki iliyopita alikuja kulalamika baada ya kutapeliwa karibu milioni 100 pesa za kitanzania ambapo alikuwa anataka kununua sijui bull dozer, something like that.
Sasa basi wenye uzoefu wa kununua vitu nje ya nchi ambapo mtu anakupa tu account namba yake huwa mnafanyaje? How do you verify?
Shukrani nyingi kwa msaada na samahani kwa kutupia uzi huu katika hili jukwaa hili
asanteni sana