Ushauri wangu kwa zito kabwe,miaka kumi ya siasa zito yatosha.najua utapata maoni mengi sana kutoka kwa wale unaozani wanakupenda kumbe wanakupoteza.achana na siasa za bongo na kama lengo lako lilikuwa kuunda chama,kwa hilo umeferi brother bora uende zako ulaya ukasome na uweze endelea na kazi...
Mkuu wa wilaya ya Kahama ameendelea kupambana na watu wasio penda maendeleo ya kahama kwa kutanguliza masrahi yao mbele.
Amekuwa mkuu wa wilaya pekee anaesimamia maendeleo ya wanakahama.Pia amedhibiti wezi na mafisadi wanaotaka kufisadi misaada ya mwakata Kahama.
Inauma sana kwani kuna wengine...
hii nimeikubali sana,mahakama ya kadhi wapeleke libya.tanzania tuna dini nyingi sana ila muhimili hauna dini.afu nyie waislamu mbona mnalalamika sana?fanyeni kazi acheni uswahili.
Hii ni kwasababu kilichompeleka kule ni mkutano wa siku moja tu,tena ni kujadili masuala ya kimaendeleo.ila ninyi wananchi mnapenda kukuza mgogoro.hawa wazee wanafahamiana vizuri sana kwani wote ni wanajeshi.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, ndugu Mgeja, amemnyooshea kidole mkuu wa wilaya Kahama ndugu Bensoni Mpesya kwa kushiriki ama kufumbia macho wizi wa vitu vilivyotolewa na wadau kwa ajili ya kuwasaidia wahanga.
Hii inauma sana kwani kama itakuwa kweli basi tunamshauri Rais afanye mabadiliko...
Kept;John komba katungulia mbele ya haki.je tuliobaki ndio tunakiwa kujifunza kutokana na kifo hiki.maana hakuna ajuae saa ya kufa kwake.ila ccm ni pigo kubwa kutokana na mchango mkubwa alioutoa ndani ya chama cha mapinduzi.hii pia ni dalili ya kufa kwa ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.