Inaelekea JF ni ya Chadema sisi CUF, NCCR-Mageuzi, TLP, Chausta.. twende wapi? Na nyinyi mnakuwa kama CCM umimi tu, CUF wamefanya vizuri Zenji, Lindi na huenda kule Kagera, NCCR-Mageuzi imefanya vizuri Kigoma hamuwapongezi na hivi viti vyenu 20 tayari nyodo CUF tokea 2000 huwa na viti zaidi ya...