Ni kweli kabisa kuwepo kwa wamasai na wanyama Ngorongoro ilikuwa ni kivutio hapo zamani. Lakini kwa sasa idadi ya Wamasai imezidi mno na baadhi ya tamaduni wamebadili. Njia pekee ya kulinda Ngorongoro ni kuwatoa wamasai! Tanzania ina maeneo mengi mazuri sana kuwaweka.
Ni ngumu kupata ticket ya basi au ndege kipindi hiki mkoa wotewote ule,sasa hizi sifa za kwamba kasikazini ndo wanarudi kwao peke yao sijui zinatoka wapi? Ni Ushamba unawasumbua!!
Utegemezi anaosema mleta mada ilikuwa ni kwamba mashirika mengine ilikuwa ni wafaidika ni watu wanne mpaka watano wanaokutegema haijarishi uhusiano wenu ukoje,lakini kwa NHIF wanaruhusiwa mke/mme wazazi,wakwe na watoto wako wanne au wale watoto ambao umeadopt kisheria! So kama alizoea kule...
Msisahau wake zenu watarajiwa mlioko nao vyuoni au wako sekondari wanatafunwa na vibabu na waume za watu mtaani! Haya mambo ni cycle tu! Usipate stress pambana na hali yako
Wakiruhusiwa kuoa itakuwa ndo mwanzo na mwisho wa nguvu ya kanisa katoliki! Imagine Padri anaondoka mwezi mzima kuuguza mtoto wake,wakati anakaribia kurudi mke naye kaumwa analazimika kubaki! Huduma za kanisa za kila siku nani atafanya?? Wahitaji kuwa mkatoliki kujua ubusy wa Padri!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.