Recent content by mkata uzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Njombe hakuna wahindi na waarabu kama mikoa mingine na je, Tetesi hizi zina ukweli ?

    Sijajua kwa sikuhizi lakini Njombe kwa muda mrefu imekuwa ikizungumziwa kwa utofauti wake wa kutokuwa na waarabu na wahindi Kuna video niliiona jana mtandaoni kuwa waliwahi kuwepo ila walifukuzwa na wa mwisho aliebaki alichinjwa, hivyo wakaambiana huo mji sio salama tena. Kuna ukweli ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya wanga vinawafaa wanaofanya kazi nzito, Kama muda mwingi unashinda umekaa au umepumzika, punguza sasa kulinda afya yako!

    Ukiishi na maradhi kama Kisukari, utaiona afya ina thamani sana Pia ni gonjwa linaloathiri sana ndoa, ugonjwa wa kisukari usipodhibitiwa unaweza kusababisha tatizo la kupoteza nguvu za kiume
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya wanga vinawafaa wanaofanya kazi nzito, Kama muda mwingi unashinda umekaa au umepumzika, punguza sasa kulinda afya yako!

    "mtu asiyetaka kufanya kazi, asile", haikumaanisha tu upande wa kiuchumi au utafutaji wa fedha kiasili hata kama una pesa, miili yetu iliundwa kufanya kazi ili iweze kusindika chakula tunachokula. Kama umezikwepa kazi nzito, basi hakikisha unakula TIZI la maana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya wanga vinawafaa wanaofanya kazi nzito, Kama muda mwingi unashinda umekaa au umepumzika, punguza sasa kulinda afya yako!

    Na hili ni bango maalum hasa kwa kizazi cha sasa, ambapo hata kazi za kujiajiri watu wanazifanya wakiwa wamekaa ndani tu, wakitumia simu au kompyuta zao. Sio kwamba Usile, Angalia Kazi Zako! Watu wengi bado wanadhani kisukari kinasababishwa tu na kunywa soda au kula keki. Ukweli ni kwamba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina ukosefu wa Nidhamu ya Lishe, wingi wa vyakula, vinywaji na unafuu wa kuvimudu umechangia tuwe na wagonjwa wengi wenye KISUKARI

    Nidhamu ni kitu ambacho watanzania wengi hatuna tunapokuwa na vingi Wengi wamekariri nidhamu inaishia kwenye kutoa shikamoo kwa watu waliokuzidi umri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Hizo hamna lolote mzee, mbwembwe tu! Kuna mmoja video yake ilivuja, watu hawakuamini walichokiona. Shida ya hawa wa bei mbaya wanajua sana kupiga picha kali, kuvaa vizuri, wameenda uturuki kuongeza makalio na wana majina makubwa mjini, lakini ni kitu kile kile ! Usidanganywe na 'packaging'.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini mama/mke akisali baadhi ya makanisa ya kilokole! Familia yachafuka, mama ampa nabii MILIONI 40 za pensheni ya binti yake aliyefariki

    siwezi kushangaa mtu mwenye mawazo kama yako umetengenezwa kuwa hivyo na mchungaji uliemweka kwenye urithi wa mali zako
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini mama/mke akisali baadhi ya makanisa ya kilokole! Familia yachafuka, mama ampa nabii MILIONI 40 za pensheni ya binti yake aliyefariki

    Umeiona hata hali ya kiuchumi ya hio familia kuanza kuassume chochote ? Umekamilika kiasi gani kwenye kuuumbika hadi kuanza kuona watu wengine hawata kuwa na emergencies za hizo pesa kama magonjwa, kesi, kuhama, n.k. ? Na hizo hazikuwa pesa za huyo mama tu, kuna ndugu zake wengine hapo na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini mama/mke akisali baadhi ya makanisa ya kilokole! Familia yachafuka, mama ampa nabii MILIONI 40 za pensheni ya binti yake aliyefariki

    Ndio maana Kagame alifunga makanisa mengi, makanisa mazuri ni ya tangu zamani enzi ambazo makanisa hayakuingizwa sana mambo ya pesa, huwezi kusikia vitu hivi Roma, Wasabato, Moravian, n.k.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini mama/mke akisali baadhi ya makanisa ya kilokole! Familia yachafuka, mama ampa nabii MILIONI 40 za pensheni ya binti yake aliyefariki

    Mwanamke anaweza kuchezewa kirahisi sana kisaikolojia na kiimani, kaumbwa hivyo aweke imani kubwa kwenye matumaini, anapopewa moyo na hata kuamini baadhi ya vitu ni miujiza kumbe ni michezo tu Ndio maana makanisa hayo 90% yamejaa wanawake,
Back
Top Bottom