Recent content by MKATA KIU

  1. MKATA KIU

    Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

    Je watoto wote huwa wanazaliwa kwenye ndoa? Hata wanyama pia wanazaa, je huwa wanafunga ndoa? Tukuulize na wewe Bila wale mababu zako waliozaliana miaka na miaka bila ndoa za kidini. kabla wakoloni hawajaleta africa dini na biblia , je wewe ungekuwepo duniani?
  2. MKATA KIU

    Tetesi: GE2025 Bumbuli: January Makamba aaga Mashindano, ashindwa kupenya 3 bora

    Yaelekea wewe hujui kwamba rais ndie mwenyekiti wa chama cha mapinduzi. Mwenyekiti wa ccm ana kura ya veto kwenye maamuzi yoyote ya chama cha mapinduzi
  3. MKATA KIU

    Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

    Kwa hiyo biblia sio maneno ya Mungu? Ni maneno ya watu tu , wamesema wanachojisikia?
  4. MKATA KIU

    Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

    Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia 1 Wakorintho 7:27-28 inasema Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi. Lakini wale wanaooa au...
  5. MKATA KIU

    Wakristo tunasema kwamba mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi huyo?

    Mungu pia ameshauri watu wasioe ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia 1 Wakorintho 7:27-28 inasema Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi. Lakini wale wanaooa au kuolewa...
  6. MKATA KIU

    Sijawai kuona mwanaume wa kiislam mwenye kipato yupo above 35 hajaoa. Ila ninaona wanaume wa kikristo wengi sana wana hela na hawajaoa. Why this ?

    kwa maoni yangu muislam ni mtu anaesali msikitini na kufata quran na sunnah na mkristo ni mtu anaesali kanjsani kwa kufata biblia
  7. MKATA KIU

    Sijawai kuona mwanaume wa kiislam mwenye kipato yupo above 35 hajaoa. Ila ninaona wanaume wa kikristo wengi sana wana hela na hawajaoa. Why this ?

    Sizani kama mahali ni shida ya wakristo kugoma kuoa. Kuna wabunge mpaka mawaziri wakristo hawajaoa Kuna wakurugenzi wakristo hawajaoa
  8. MKATA KIU

    Sijawai kuona mwanaume wa kiislam mwenye kipato yupo above 35 hajaoa. Ila ninaona wanaume wa kikristo wengi sana wana hela na hawajaoa. Why this ?

    Hello wadau. Ukweli mimi binafsi sijawai kuona mwanaume wa kiislamu mwenye kipato hata cha milioni moja tu kwa mwezi amefikia miaka 35 bila kuoa. Yaani Kuwa bila mke halali. Ila nimeona wanaume wa kikristo wengi sana wenye kipato zaidi ya milioni 10 kwa mwezi.. wamezidi miaka 35 ila bado...
  9. MKATA KIU

    Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Kama ni hivyo kwa nini kina Nape , zitto kabwe na wasomi wengine kibao wa mazingira walikataa bwawa kujengwa na kusema halitajaa.. mvua hazitanyesha
  10. MKATA KIU

    Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Kuna wale walisema inakatwa miti milioni 3 rufiji...mvua hazitanyesha tena na wala bwawa halitajaa.. Cha kushangaza, mvua zikanyesha mpaka mafurikoo
  11. MKATA KIU

    Hali Tete Kucheleweshwa au kutokulipwa kwa wakandarasi TANROADS na RUWASA limekuwa tatizo linaloadhiri Wakandarasi na Uchumi wa nchi

    Serikali inadharau wakandarasi wazawa na kulipa haraka wakandarasi wa kigeni. Kina Arab contractor wamelipwa ma trilioni ya pesa haraka haraka. Ila njoo kwa waswahili vile
Back
Top Bottom