Recent content by MKASHU

  1. M

    Ulinzi mlimani city

    Kweli kwa namna hii hatufiki, nafikiri siku akikamatwa mwizi pale akauawa na wananchi wenye hasira labda management ya mlimani city watabalishisha mfumo wao wa ulinzi.
  2. M

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Uko sahihi kabisa serikalini kila kazi wanataka posho wakati ni majukumu yao na ni hao hao wakikaa kwenye vikao wanatoa maamuzi mabovu, hizo posho isiwe kwa wabunge tu nafikiri secta zote za serikalini
  3. M

    Viwanja vya mradi Bunju

    Habari wandugu, kuna kitu kinasikitisha hivi Dar es salaam tena wilaya ya kinondoni hadi leo hakuna umeme ukiuliza utaambiwa wanaleta. Kuna ndugu yangu anaishi bunju kwenye maeneo ya bunju kulikokuwa na mradi hadi leo hakuna umeme na sasa hivi wameanza kusambaza nguzo lakini kama wewe...
Back
Top Bottom