Viwanja vya mradi Bunju | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vya mradi Bunju

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by MKASHU, Jun 15, 2011.

 1. M

  MKASHU New Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wandugu, kuna kitu kinasikitisha hivi Dar es salaam tena wilaya ya kinondoni hadi leo hakuna umeme ukiuliza utaambiwa wanaleta. Kuna ndugu yangu anaishi bunju kwenye maeneo ya bunju kulikokuwa na mradi hadi leo hakuna umeme na sasa hivi wameanza kusambaza nguzo lakini kama wewe hujulikani basi utaendelea kukaa giza mpaka tanesco wafurahi ndio utaona umeme hatujui ni lini. Embu tujiulize kweli kuna haki kweli wakati huduma yenyewe utakuja kuilipia na kuiingizia nchi yetu mapato?
   
 2. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  simbioni oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si walitandika line kubwa zimebaki tu zile za kuvuta kuingia majumbani?
   
 4. stwita

  stwita JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Bunju huko huko hata mradi wa maji ya wachina wameuchakachua
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hata kama wakitandika nguzo, nyaya hadi mita au luku, huo umeme uko wapi?? Sisi tuna mita na luku lkn umeme uko wapi, hela ninayo lakini hiuo umeme uko wapi!
   
 6. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Waulize Kijitonyama mitaa ya Heko habari ya maji ya wachina, mabomba yalipitishwa yalipokamilika hakuna maji wala wachina wahakurudi kusema kulikoni. Mafisadi wa maji wameungana na wananchi walafi wakachimba visima kisha wakakata mabomba yanayokwenda kwa raia wengine. Cha kushangaza unakuta mtaa mzima hauna maji, wenye maji ni ya visima tena ya chumvi, kuna bwana mmoja anaitwa Liundi anauza maji safi, sasa jiulize hayo maji yeye anatoa wapi? Wateja wake ni wafanyabiashara wadogo wadogo hadi wale wenye magari ya maji pale Science.

  Ukienda Dawasco na kuwakali akooni na ushahidi kibao wako, wanakwenda pale danganya toto, mabomba yanafungwa maji yanatoka mtaa mzima, siku mbili tatu hali imerudi pale pale.
   
 7. P

  PascalFlx Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we tafuta njia mbadala hata hao wenye umeme wanamgao, afadhali uwe na umeme wako kuliko kutegemea wa TANESCO
   
 8. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wahusika ukiwafuata wanasemaje?hapo ndipo pa kuanziaaa
   
 9. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiio Tanzania yetu, sijui lini tutaendelea
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Pole sana......ila usijali kwakuwa wenzio tuna mgao
   
 11. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 427
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata kama ukifungiwa umeme na mgao huu utajsikia tu hauna umeme
   
 12. K

  Kasanga Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ndio Tanzania zaidi ya unavyoijua! Sio Bunju tu bali kila walipopima viwanja ni utapeli kwa kwenda mbela! Subiri uone kitakachotokea KIGAMBONI ambako wanadai utakuwa mji wa kisasa kama hujakuta hata barabara moja hamna1 luguruni walituonyesha utakuwa mji wa kisasa lakini leo hii ni vichaka vitupu! Ndugu zangu wa Kigamboni nawaasa msikubali hilo dudu linaloitwa KIGAMBONI BLUE DIAMOND1 mtanyag'anywa maeneo yenu halafu wote mnaenda kulundikwa kijisehemu kimoja kama kuku!
   
Loading...