Recent content by mkarimani feki

  1. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    haya madeni haya vumiliki kwa kweli
  2. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  3. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    ngoma inatupoteza sana vijana. hata huku niliko watu wakivuna ni pombe na ngono zembe deile
  4. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kwa vigezo hivi bado sitotoboa UN agencies?

    hata mm nitafanya hvoo mkuu
  5. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kwa vigezo hivi bado sitotoboa UN agencies?

    mauaji mengi sana kwa blacks USA
  6. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea usipochukua Barua ya Kazi Utumishi?

    pole sana chief, umepangiwa halmashauri !
  7. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Wema ni chanzo cha matatizo, roho mbaya ni kinga dhidi ya majanga

    nimeusoma huu, uzi nimeokota kitu
  8. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la ajira na ugumu wake unachangiwa sana na tabia zetu

    hahaaa daah! wabongo
  9. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    chief maisha yana chakazaga sana
  10. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    ndivyo maisha yalivyo mkuu,
  11. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    ndivyo maisha yalivyo mkuu,
  12. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    chief acha tu!
Back
Top Bottom