Nafikiri every era will have challenges and since change is inevitable solutions must be available, viwanda vilipoanza kushamiri watu walikumbwa na maisha magum saana maandamano kila kona ya dunia yalifanywa lakini ona Leo kila nchi inatamani kuwa na viwanda ili kuboresha maisha na uchumi wake...
Hi, I napenda kusafiri pia, books, movies, old movies and natamani kujifunza lugha ngeni japo umekua changamoto kidogo.
I'm 33. Public admin by professional let's have fun and explore into the world of everything since I've got an open mind too.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 32, nmeoa NINA na mtoto mmoja ndani ya ndoa lakini hapo kabla nikipata mtoto KWA hiyo jumla NINA watoto wawili wote ni wa kiume.
Jamani nimepambana sana kwenye umachinga, kuuza chips na hata ukulima lakini kitu nilichokielewa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.