Ccm ni ile ile ,,magufuli alisema tanzania ya magufuli ss ile ilikua lugha ya kutongozea ,,tusubiri tuone kama atauweza huu mfumo wa ccm,,cjui !nakuunga mkono sana copenhagen
Hao wakina mama ,,hasa wa ccm hua hawana cha maana zaidi ya kuwakanyaga watz maskini kwa kupitisha hoja za kishenzi na miswada kwa ajili ya wakubwa wao waliowaweka
Hakuna mzima hata mmoja aliwahi kua rais akatupa maisha kutokana na rasilimali zetu ila sisi ndo hua tunawapa maisha ,ss huyu mgonjwa ndo tunamtaka na tutampa kura kwa sababu anajua shida ya kuumwa ,atatusaidia bila shaka ,Mungu aendelee kumlinda inshallah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.