Nilimwambia Nguruvi3 Wahuni na nikasherehesha nikisema kama unajua maana! Na hili neno tumelisikia sana Polepole akilitimia. Ahida kwao iko wapi mkuu wangu? Nashangaa mnabadilisha kauli zangu kwa tafsiri zenu wenyewe kupotosha maneno yangu. Kwa nini lakini?
Lile jaribio la kumuua Tunsu Lissu...
Inabidi nicheke tu kwa leo. Habari zote ni tungo yaani mtu anachofikiri yeye ndio unataka kila mtu aamini. Samahani mkuu, sitoendele na habari ya Tundu Lissu kwa sababu mnaamini Yeye kaletwa na Mungu kuikombia Tanganyika
Jumaa Mubarak..
Kuna pahala popote mimeandika ama kusema Tundu Lissu alijipiga yeye risasi mwenyewe? Sasa nawezaje waridhisha watu kama nyie ambao mnatunga vitu na kusingizia wengine? Unawezaje weka maneno yako mdomoni mwangu wakati sijasema hivyo!
Tundu Lissu hawezi kuwa na KINGA ndani ya nchi alokimbia...
Binadamu tumeumbwa kila mooja wetu amepewa akili tunatofautiana matumizi yake tu. Na sidhani kama naweza washawishi lolote juu ya Zanzibar, Serikali 2 wala hili jipya la Tundu Lissu maanake mmesha kuwa mateka wa Story hadith kolea!
Ebu jiulizeni, Tundu Lissu alokoswa koswa kuuawa na Magufuli...
Unajua Mkuu wangu Umanisukuma niseme ovyo halafu watu muanze Mjadala mwingine kunitoa katika Ukiukaji Wa Katiba.
Unaposema ni Eneo la Serikali yaweza kuwa swa kama Serikali hiyo unayoseme ni MIHIMILI mitatu. Kwa kawaida tunaposema Serikali huwa na maana ya Government.
Na kulingana na Katiba...
Nimesema ni Eneo la Bunge, Viongozi wa Serikali waliopo pale ni kwa sababu wao pia ni Wabunge, laa kama tungekuwa na Mawaziri ambao sio Wabunge wasingekaa nyumba hizo pamoja na Wabunge wa vyama vya Upinzani.
Mkuu niacheni nipumzike. Nachoka miye Mkandara kueleza watu wasiotaka kuelewa ila...
Kuhusu Muundo wa Serikali umesema kamati 10 zote zilipinga Serikali 2 na tume ya Warioba walikuja hitimisha. Bado haya ni MAONI ya Wananchi ambayo hata mimi nina wajibu wa kutoa maoni yangu hata kama hayakubaliki na wengi otherwise msingejua sababu gani zinanifanya naamini Serikali 2 bado ni...
Swali zuri sana na ndio maana mimi nilimkubali sana Magufuli kwa sababu hakuingilia kazi za vyombo vingine vya Sheria kama sii mahala pake. Hakuwahi kabisa kuingilia vyombo vya Dola zaidi ya kusema ama kutoa maoni yake akilalamika, yeye huku kwenye Serikali (Executive) alikula nao sahani moja...
Nikwambie hivi ukiona sijibu swala ujue lopo nje ya mjadala huu kwa sababu hakuna sehemu wala pahala nimezungumzia Unyanyasaji baina ya Bara na Visiwani kupitia Katiba. Sijui wewe umelipata wapi.
Nolichosema mimi kwa maudhui ya Mbananga chake kwa tafsiri rahisi yenye maana ya Ukiukaji wa...
Hii ndio kawaida yenu mnapenda sana story za mihemko ambayo iliandaliwa na Wahuni. Yaani Magudili akanunue ndege ambazo aliahidi kwenye Ilani yake kufufua ATCL mkasema haiwezekani! Ahadi za Uongo! halafu atie ndani fedha za Umma mtu mwenyewe Magufuli? Ebu tema mate chini.
Ok hizo hela...
1. Ok, nambie kulikuwa na tatizo gani kununua ndege kwa cash badala ya Mkopo? Maanake hao hai wanaolalamika wamenunua nyumba zao magari yao kwa cash! Kinachpungua nini?
2. Kwa hiyo wewe huamini kulikuwa na Vita ya Kiuchumi? Damn ndio maana nakubaliana sana na Nyani Ngabu anaposema Miafrika...
Kama #jamiiforums inahifadhi Mada za zamani ningeomba wahusika watuwekee hapa iile thread tulikuwa tukijadili Lowassa kwenda Chadema.. Ukweli utajulikana.
Na kuhusu Magufuli, na UBABE wake. Akiwa rais alitangaza VITA vya UCHUMI hadharani na akaanza kupambana na Mafisadi wa ndani na Nje...
Sikilizeni wenzetu wanavyo jadili Bungeni, Watu wanajaribu kuvunja Muungano wa nchi zao https://www.instagram.com/reel/DePNKJqhrbh/?exln=d3lqanNydGp1ZHZ5
Sasa Mkuu wangu mbona unarudia ninayosema mpaka nikaweka clip ya Warioba. Hivi kitu gani ulishindwa kunielewa toka mwanzo? Aaah nachoja Miye Mkandara..
Ok, kwanza Lissu kaongopa, mwanzo tu ananza na kusema siku ya Mapinduzi, hiyo siku anaingiaje Kikwete kutopigiwa mizinga? Anapiguwa rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.