Recent content by Mkambarani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wadau wa usafirishaji

    Acha kuchafua watu na kampuni zao tafadhali, nakushauri ungeweka hapa mkataba mlioingia na hiyo kampuni lingekuwa jambo zuri katika kujenga hoja yako. Pili unapotoa taarifa hizi tambua watu wametumia miaka mingi kujenga brand katika biashara zao, sasa wewe unatoa habari ambayo huna hata nakala...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

    Inatisha sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea amesafirishwa leo kwa ndege kwenda mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge

    Haya mambo ukiyafatilia sana utasikitika sana, inabidi kuwepo external force itakayo act upon the system kusudi kuchange the position of the system.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi

    Hii sasa imezidi, Rais anapaswa kwenda kwenye mikutano mikubwa kama hiyo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHALISI lafungiwa kwa miaka miwili, wahukumiwa kwa kuandika habari za uzushi kuhusu Mwakyembe na Makinikia

    Ushauri kwa wamiliki wa Mwanahalisi; Anzisheni gazeti jingine na mlisajili kabisa kwa sababu katika maelezo hayo ya Serikali hamjazuiwa wamiliki kuanzisha gazeti jingine kwa taratibu zile zile. Mnaweza kuliita Mwanajamii.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu milioni 1.4 wanaishi na virusi vya Ukimwi

    Kuna jamaa anasema hapa Tanzania kuna mtu anadawa na inaponyesha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Poleni sana ndugu mliofiwa, ni msiba mzito sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bulyanhulu yabadili mfumo kukwepa makinikia

    Fao la kujitoa halipo tena mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bulyanhulu yabadili mfumo kukwepa makinikia

    Huu ndiyo mwanzo wa wawekezaji kuondoka taratibu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama wa ya Bunge yashindwa kuwasilisha ripoti juu ya shambulio la Tundu Lissu

    Inawezekana bado wana imani kwamba lengo lao liafanikiwa!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kila tone la damu yangu litajenga muungano usiofutika

    Hali yake vip mkuu, anaendeleaje?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu kuwa hadi sasa Jerry Muro hajahojiwa na polisi kuhusu jaribio la kumuua Lissu

    Jerry Muro amejiharibia kabisa taswira yake ktk jamii
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu mstaafu, Othman Chande amjulia hali Tundu Lissu

    Mwanasheria mkuu wa serikali hajaenda kumuona Lisu?
Back
Top Bottom