Umekosa kazi!!!!! Oboma anabalozi hapa Tanzania, kamuteua yeye mwenyewe. Na balozi wa marekani anaona hali ya Tanzania, ilivyo. Kama ingekuwa mbaya
asingekuja tanzania. Kaa ufikirie mtu kama raisi oboma kuja tanzania kaona nini? Unaweza kuwa unadharau democrasia ya tanzania kumbe ni bora...
Kila mwana siasa anapotaka kuingia madarakani anatoa ahadi rukuki, ilimuradi tu apate nafasi kwa sababu ya interest zake!!! Ukiona watu wanampamba mgombea fulani, kuna kitu wanachotaka kama mgombea wao akipata nafasi wapambe wote watapewa nafasi au watapata fursa fulani. NDUNGU MTANZANIA...
Anaitwa Dr sospeter Majala, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 20, Anatibu magojwa mbalimbali isipokuwa ukimwi na TB. Wasiliana nae kupitia No 0769293026, atakusaidia baada ya kueleza matatizo yako.
Hii ni demokrasia kila mtu ana uhuru labda kaona kuna kiongozi mzuri zaidi chadema ndio maana kasema hivyo. Haitakiwi kulazimisha mtu ambaye kachoka na uongozi. Likitokea baya atasema munilazimisha mi nilikuwa nataka kustaafu, ni mawazo yangu.
hadi matokeo kutangazwa standistation imefanyika ya kutosha: au unapenda taifa lipate wataalamu feki: mwanafunzi anachat darsani unategemea nini. Fatilia matokeo hata yule za private achana na international school,kama feza boys. Angalia shule moja baada ya moja utaona hata private wamefanya...
Mimi ni Mtanzania asilia, nauchungu na nchi yangu. Tutapata wapi wataalamu wa baadae? kama elimu ya Tanzania inazidi kushuka.Mwaka 2005 waliohitimu kidato cha nne walikuwa 130000, Waliopata DIV 1, 2& 3 walikuwa 23000. Mwaka huu matokeo ya 2012 waliopata DIV 1,2 & 3 ni 24000 na watahiniwa ni...
Tanzania tunaelekea pabaya,busara, hekima na uvumilivu vinahitajika ili turudi kwenye.Tuangalie ubinadamu kwanza kuliko dini zetu. Hakuna raha kweye maisha ya shida maana vujo zikitokea hakuna atakayekumbuka kusali,lakini sasa hivi tunaishi kwa raha na tunakumbuka kusali. Angalia nchi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.