CHADEMA Pangeni Maandamano Siku Ya Ujio Wa Obama

We Pumbavu dunia yote haiko salama,unadhani dawa ya amani na kutokomeza ugaidi inatoka marekani au dunia ikijua?akili yako fupi sana,aliyekuambia ugaidi utakoma kwa kuandamana ni bank,Marekani imejaa makovu ya kulipuliwa zaidi ya raja kaki mbili waliteketezwa mara moms uliona Democrats au Republican wakishutumiana pi.bavuuuuuuuuuuu

Bora mimi pumbavu kuliko nyinyi maghaidi
 
Umekosa kazi!!!!! Oboma anabalozi hapa Tanzania, kamuteua yeye mwenyewe. Na balozi wa marekani anaona hali ya Tanzania, ilivyo. Kama ingekuwa mbaya
asingekuja tanzania. Kaa ufikirie mtu kama raisi oboma kuja tanzania kaona nini? Unaweza kuwa unadharau democrasia ya tanzania kumbe ni bora kuliko nchi nyingi za kiafrika. Fatilia nchi moja moja za afrika halafu utoe jibu.
 
Huyo Obama hana msaada wowote tujiandae kuzomea kama China wamempa Nchemba mabomu Obama si ndio atawapa ndege za kivita.
 
Chadema pangeni maandamano siku ya ujio wa Rais wa Marekani Obama. Andaeni mabango ili kuionyesha dunia ni jinsi gani serikali ya ccmafisi wanavyoendesha nchi. Yani hapa hakuna kukubaliwa kibali wala nini. Wana CDM jitokezeni siku io kuwaonyesha Marekani na dunia nzima haya yanayotokea katika nchi yetu, kuwa hapa hakuna demokrasia. Haya yaliyotokea nchini jana, Arusha na maeneo yanakofanyika marudio za uchaguzi, na ukifuatilia matamshi za viongozi wa juu wa ccMafisadi Nape, Mwigulu ni ushahidi tosha.

nimekuelewa mdau,ila kwa nini CDM!? Watanzania hawajitambui?! kwanini Watanzania wasimpokee kwa maandamano na mabango yaliyoandikwa, WE KNOW YOU HAVE PERMANENT INTERESTS BUT NOT PERMANENT FRIENDS! huoni wananchi tungemtisha Obama au we unachukulia poa? Mwigulu na genge lake pamoja na ccm yao,NGUVU YA UMMA INAWAMUDU. VIVA CHADEMA VIVA.
 
Usimsahau mama yako,baba yako na kama una watoto usiwasahau kuongozana nao na twawatakia maandamano mema.

Ntakuja hadi na mbwa na mbuzi wetu....Tumechoka na Ukatili wa CCM. Mkawarushie na mama Zenu mabomu mliyorusha Arusha tuone kama mtacheka na CCM. Bora kupigwa marungu kuliko kubaki mazezeta
 
Na kazo zetu tumwachie nan?
Hao wanauhakika wa maisha xo huo mda bora tukaweke sawa uhakika wa maisha ya watoto wetuu
Uhakika wa maisha yako ni kulindwa na dola sio kuruhusu dola ikuue wakati wowote inapotaka na kufanya maisha ya hao watoto wako kuwa na mashaka. Waliopigwa bomu na kufa au kupata vilema ni wazazi kama wewe na wana watoto ambao sasa ni yatima.
 
..Watanzania bana.....muandamane nini tena.....hivi majuzi si mlikua mnamtolea mapovu Kagame wa Rwanda!!...leo mnataka muandamane nini tena?wakati mambo ni poa TZ?.....endeleeni kuuana kama mbuzi TZ....mwacheni JK ashughulike na mambo ya nchi za wengine.....
 
Obama akiwepo hakuna cha bomu wala nini. viongozi wa chadema inabidi washikilie hili bango ili kulaani mauaji ya kikatili na uenezi wa udini
Mbahangaika sana nyieee jaribuni muone chamoto msidhani ni jeshi la tz litafanya kazi jeshi la obama nyie badala muwaze familia yako itakula nn unawaza maandamano yatawapeleka wapi jamani mnahangaiiika tu!! Tafute shughuli muwe busy basi
 
Kuna nchi wanatamani wangempata huyu mgeni kwenye nchi yao hadi vichwa inawauma ila watanzania kwa perereee nyiiingi mnaweka siasa kuna sehemu siasa haiitajiki jamani kah!
 
Kuna nchi wanatamani wangempata huyu mgeni kwenye nchi yao hadi vichwa inawauma ila watanzania kwa perereee nyiiingi mnaweka siasa kuna sehemu siasa haiitajiki jamani kah!

Hapo sasa mkuu wanadhani Obama akitembea hua anatembea alone .. huo mkutano na wafanyabiashara wa kimarekani na watanzania opportunity nzuri tu..

Na hii ndio inawauma majirani zetu ni kama anawaambia nchi hii ni safe katika uwekezaji kule kuna matatizo
 
Watz wanataman kumuona ana kwa ana tu ila ujio wake umewagibika mashaka tuu
 
Dr SLAA APELEKA UMBEA KWA WAMAREKANI;

Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde zinaeleza kwamba,

Katika kile kinachotafsiriwa kuwa ni fitina,chuki au kukosa uzalendo katibu mkuu wa chadema Dr wilbrod Slaa alikutana na maafisa ubalozi na maafisa wa state-department ya marekani na kuwaeleza kwamba serikali ya tanzania haina utawala wa kisheria badala yake inasimamia mauaji ya watu wake.

mkutano huo ulifanyika katika ofisi za chadema kinondoni jana tarehe 29/6/2013 saa nne asubuhi dar-es-salaam. Pamoja na mambo mengine slaa aliwaomba maafisa hao waishauri serikali yao kuacha kutoa misaada kwa tanzania,kwa vile uongozi wake ni wa kiimla

lakini pia slaa alienda mbali zaidi na kuwataka maofisa hao waishauri serikali yao kuzishauri na nchi zingine zikiwemo za ulaya kusitisha misaada kwa tanzania.

slaa pia aliwakabidhi mikanda miwili ya mauaji ili waitumie kama kumbukumbu na ushahidi ambayo ni mauaji ya daud mwangosi kule iringa na tukio la kurushwa kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule arusha soweto.

Slaa aliwaomba maafisa hao watunze mikanda hiyo ili itumike kama ushahidi wa kuonesha kwamba tanzania siyo taifa salama.

mwisho slaa aliwaomba maafisa hao waishauri serikali yao kuisaidia chadema kuingia madarakani mwaka 2015.
 
Hivi wewe unaelewa maana ya umbea? Hizo ni facts tupu, wacha unafiki na kujikomba.
 
Back
Top Bottom