Recent content by mkalimawe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siri za kambi EL zafichuka

    Yani mbunge wa mbeya (v) ndo awe mwenyekiti?? EL kweli umeishiwa,huyo ni kilaza.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Je,hilo gari kakodishwa kwa bei ya soko?? Kama ndio hela aliyolipa haijazidi bei ya hiyo gari? Kama sio kwa nini akodishwe yeye? Kwa nini hakuitaja ktk magari anayotumia?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Kuna ukweli unaonekana dhahiri kuwa Zitto amehongwa hayo magari. Yani baada ya kupewa tu atumie akataka kulinunua,pia zitto amgesema haya wakati anakanusha,ameficha mkono kamuumbua.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Mnyika kuhusu tuhuma za CHADEMA kubadili vipengele vya Katiba...

    CCM hawana moral authority ya kuhoji matumizi ya fedha za vyama vingine kwa sababu,hawajaeleza mikataba ya miaka 264 aliyosema mwenyekiti wao,hawajasema nani alinunua gari mbovu aina ya mahindra mwaka 2005 ambazo zote zimekufa. Tenda ya jengo la Uvccm hakuna aliyewajibishwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msekwa anaendeleza propaganda za kitoto za Dr Slaa na Ukatoliki!

    Huyu mzee ni mwehu anaweza kuthibitisha kuwa kanisa lilimbeba?? Basi watangaze kuwa wakatoliki marufuku ccm. Tbc ilistahili wakatishe matangazo kuzuia huo utumbo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

    Anayekusanya kodi ndo mwenye jukumu la kupeleka hela za maendeleo kwenye halmashauri ambako mbunge ni diwani pia ili kuzisimamia na kuleta maendeleo.Onyesha ushaidi wa central govt kupeleka fedha za maendeleo Arusha na zikatumika vibaya bila kujenga iyo complex unayotaka.Ikifika hapa ndo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

    Hivi ahadi za jk ni mwaka gani vileee!! Tena ndie anakusanya kodi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

    Hivi yale magamba yalivuliwa baada ya siku tisini??au yule lililoishia kiunoni ndo akapewa uongozi wa kamati nyeti ya bunge!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

    Hivi ccm nchi hii pamoja na kuwa na miti yote hii hata madawati ya wanafunzi yanatushinda??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

    Kama mtu una akili timamu huwezi kuuliza ahadi za mbunge kabla ya ahadi za chama kinachotawala sababu ilani yao ndo ilipata ridhaa.mfano;ajira milioni moja,maisha bora n.k
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema na CHADEMA acheni ulaghai!

    Anasubiri jk ajenge kila manispaa ya dat,apeleke meli kubwa maziwa yote na ageuze kigoma kuwa dubai.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Uchochezi wa Dr. Slaa na utembezi wake wa vyuoni Marekani. Iweje aruhusiwe?

    Mpango wa milenia wa ccm ni upi?? Au ule wa UN ambao tuko nyuma kwa kila lengo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

    Kusema hayo haitoshi,angeambatanisha na ushaidi anaosema.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

    kura za urais zinapigiwa wapi??
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CHADEMA na wafadhili wake wa nje kupanga mikakati ya uchaguzi

    Sijawahi kuona watu wa ajabu ka nyiemnaozungumzia udkni badala ya hoja!!! Kuna mtu wa imani nyingine amekataliewa cdm? Mbona nyie ccm mnafukuza waislamu tu Edward na Andrew hawagusiki??
Back
Top Bottom