Recent content by Mkali popote

  1. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Askari wawili washikiliwa vurugu za polisi Ukonga

    Itakuwa wewe ni BWABWA si bure.
  2. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Askari wawili washikiliwa vurugu za polisi Ukonga

    Cjapenda kbs=sijapenda kabisa acha uzwazwa wa kutuharibia lugha yetu
  3. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Sioni kazi ya Jeshi la Zimamoto Tanzania halina faida naona wanalipwa bure

    Na JWTZ nayo ifutwe kwa kuwa hamna vita?
  4. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Hii kauli naona kama inatuhusu

    Mod??? hahahahaaa ckuwa najua hilo kumbe ndo maana jamaa kila muda yuko online.
  5. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Hongera sana ITV kwa kuanza kurusha habari za Makonda, bado za January

    Anajifanyaga yeye ndo mjuaji wa kila kitu na anaweza kumjibu kila mtu anavyotaka utafikiri JF ya baba ake. Kama ameishiwa hoja arudi tu fesibuku kwa wapiga umbea wenzake.
  6. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Hongera sana ITV kwa kuanza kurusha habari za Makonda, bado za January

    Usipende kujiona wewe ndo mjuaji na una uwezo wa kumtukana mtu yoyote unavyotaka wewe bila hata kumjua. Nakuangaliaga post zako zimekaa kimauzimauzi sana. Badilika mtoto wa kiume ungekuwa chuga ungeshaliwa k*boga kwa kiherehere chako. Nimemaliza na ctakujibu chochote ucjsumbue kuniuliza lolote.
  7. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Viongozi wa CUF wafariki kwenye ajali wakitokea Dodoma kushuhudia uapishwaji wa Wabunge

    Mtalajiwa=mtarajiwa Jilan=jirani Ahsante kwa kunielewa.
  8. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

    Dah r.i.p ndugu yangu kwa kumkosoa ASHA
  9. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Vituko ndani ya JF; Upande wangu wa simulizi

    Binafsi nina mpango wakufungua id ya pili kwa ajili ya jukwaa la siasa maana kwa hali ilivyo unaeza shangaa unaenda pimwa mkojo kwa ajili ya id yako ambayo umeisajili na kuweka utambulisho wako wa kweli japo user name ni fake
  10. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi kutuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Dunia mwaka 2135

    kama linaelea litaangukaje. maana hata dunia inaelea na haijawahi kuanguka.
  11. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Je, ni tabia gani ambayo huipendi kwa members wenzako hapa JF?

    Thread za kibwabwa kama za kina Jordi Pola wanashusha hadhi ya jf kwakweli.
  12. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania na kisa cha ng'ombe watatu

    Great thinker
  13. Mkali popote

    JamiiForums Tanzania Sehemu wanapopika CHIPSI TAMU hapa Dar

    Kumbe we kamwanaume cha dar. ndio maana. huku hapakufai nenda kwenye fesibuku yenu tu.
Back
Top Bottom