Recent content by Mkali Mapanga

  1. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania BAKWATA lakiri kudaiwa milioni 176 na kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake

    Muislamu mwenye kujielewa hawezi ichangia BAKWATA
  2. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Subhana Allah,kweli shekh alifumaniwa?
  3. Mkali Mapanga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond umetisha sana. Video is out, Diamond Platnumz ft Rick Ross

    Aisee kweli huyu jamaa kilaza xana
  4. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa nawezaje kupata salary slip zangu za miaka ya nyuma?

    Nenda Hazina ukiwa na barua ya utambulisho kutoka kwa HR wako yenye kukutambulisha na kuonyesha shida yako watakusaidia
  5. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta bank yenye mkopo wa riba nafuu

    Ndio hiyo
  6. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta bank yenye mkopo wa riba nafuu

    Hapana mkuu,dhamana ni mshahara wako tu,tupo pale wizara ya Fedha na Mipango,njoo tukuhudumie
  7. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta bank yenye mkopo wa riba nafuu

    Njooni Hazina Saccos ltd
  8. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda amua moja ueleweke!

    Tunasafari ndefu sana sisi,kwa vijana wa namna hii mh!
  9. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Nn kinasababisha hao wengine wasiitwe polisi?
  10. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Ponda ni kiongozi wa kiroho so kama huna roho .............
  11. Mkali Mapanga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Waislam hawaogopi kufa,tenu hufurahi zaidi wakifa huku wakiitetea haki
Back
Top Bottom