Kulea watoto n zaid ya hyo elimu bure,ss kuna haya yenye akili za kushikizwa hata yakiambiwa shusha surual na uiname kwao n sawa tu,hayajui madhara ya dependancy retio kwa nchi masikin
Leo katk pitapta zangu yuuchubu,nkakutana na huyu mwandish akihojiana na huyu jamaa wa tcrei,kwa kwel ukiangalia vizur huyu mwandish alikua kama proscutor kwny mahojiano kwn alikua kama anapeleleza iv kuhusiana na uvumi wa huyu jamaaa kuugua,officer nae kahojiwa ila alikua anajibu kwa ufasaha na...
we umeona 16%ya production inaendana?ardh n yetu,madin n ya kwetu,tumekosa machine na skilled people afu unaona n kama tunabenefit kwny hicho kivuli cha kubadili jinaa,kwel hi mikata ya kimang'ungo imekuja kivingine
mkuu c unajua lile wenge la boarding school ko yy nlijikuta tu nmemlala ila ukwel nlikua na manz ambaye ndo nlimuelewa zaid cz na mwsho kanipiga chin ko nkaona nifanye plan B na nliempa nafac kwa nafac hii n yy ila kaanza chenga ko na yy napiga chin tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.