Angalua hapo tofauti ya Obama alipokuja TZ na Leo Kenya. Mengine mtasema wenyewe naona watu wanataka kukataa ukweli na kupotosha
https://www.youtube.com/watch?v=LQrep2xF4bg bongo alipokelewa akashiriki sherehe za uwanjani then akapigiwa mizinga 21 nk
Sasa hapo Bar ikuwapi mbona haionekani? Tunaona gari tu. Kama ilikua ni hotelini walipofikia tutajuaje? tuonyeshe bar lasivyo huu ni umbulula tu na kuwashwa sehemu zisizokunika
"Ni lazima jamii ikatambua kuwa maamuzi haya yanahusu CCM ambayo ipo madarakani
ambapo matokeo yake ni kuvunja Serikali na kwa CHADEMA ni kuwaondoa wabunge wake hivyo uchaguzi kufanyika tena.
Kauli hiyo imetolewa na Msajili wa vyama vya siasa ikiwa ni siku chache baada ya kutokea kwa mlipuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.