Kwani mkuu uliamua kumuhudumia kwa kila kitu huyo mtoto ikashindikana? Hebu amua utamuhudumia wewe kwa kila kitu na uone kama wataendelea kukutana huko vichochoroni
Pole sana mkuu, nadhani kilichokuumiza hapo sio rangi ya kijani kwenye vituo ni rangi ya CCM kwenye vituo! Hakika kuna watu wanaichukia CCM, ni wakati wa kujiangalia upya CCM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.