Hawa wapiga kura za maoni wangezingatia pia uadilifu wa mgombea,maana ndugai anaweza kupiga hata wapiga kura wake,hana uvumilivu,tunasubiri kamati kuu kumwengua vinginevyo ukawa chukua jimbo
Penye ukweli uwongo hujitenga,hivi mtu akitetea hoja za msingi kuna mambo ya chama kweli,pole mpinga hoja huna maana kabisa leta hoja ondoa ushamba na chama chako mnaokumbatia maovu,shida yenu ni mwanya wa ulaji tu .Angalia Marekani chama kikifanya madudu kinawekwa kando na kingine kinashika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.