Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Nimehojiana na akina mama na baadhi ya wanaume katika maeneo ya Bukoba, Biharamulo na Muleba na wakasema kitendo cha kukimbizwa na mgambo kwa kuwalazimisha kulipa shilingi 6,000/= za ujenzi wa maabara wakati kuna watu walibeba fedha kwenye Lumbesa na nyingine zikachukuliwa na ndugu zao wenye asili ya huku kinawauma sana.
Ukiwauliza wamejuaje wanasema siku hizi kuna redio nyingi zinasikika hadi migombani kwa masafa ya FM. Wanasema ukichaji simu yako ya Tecno ukavaa shingoni unasikiliza magazeti..... mijadala na mambo yote hivyo wako informed. Kule Karagwe mjini ndo balaa CCM wanaitafuta mitaa kwa tochi.