Recent content by Mkabera

  1. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Kwanini nijishughulishe na kuchunguza ujinga? Umbea unafiki ufedhuli - hii yote ni ubaradhuli.Bora nifikirie jinsi ya kuinua business au elimu au ya Akhera. Hii sinsila ya ujinga itanisaidia nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Ujinga kazi..,
  3. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Tumieni akili msiwe kama ng'ombe. Habari ukisikia kwanza chambua
  4. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Huyo unamuona ana sura ya kiyahudi? Huyo ni Mwarabu anaeishi Palestina iliyokaliwa na mabavu
  5. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Ubaradhuli tu. Midomo michafu kama choo cha mnaz n'gombe. Watu wenye akili wanatosha mabaradhuli majahil watabakia kutoa midimoni harufu za chooni
  6. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Ujinga ukizindi matokeo yake haya Watu wako busy kuongea mambo ya faida ujahili unawatuma baadhi kupngelea mambo yakipumbavu .
  7. M

    JamiiForums Tanzania MUISRAELI atwaa medali ya Dhahabu huko Uarabuni

    Kuna watu wajinga wengi humu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sultan Qaboos karibu Tanzania

    By the way; Ujuzi wa kazi unakuja kwa kupata experience na kutokana na experience unajifunza solutions na makosa. Ndo maana rais Magufuli msomi na mtu mwenye akili anayetaka kuiendeleza nchi mbele analijua hilo. Technology kuna aina mbili zingine unazifanyia reseach unazicopy right na unadevelop...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sultan Qaboos karibu Tanzania

    Kuna watu humu specialists wa "ujinga" na kutukana watu tu". Ikiwa enzi za Mitume; watu kama hao walishindanikika wakabakia mababu wa "Jahlia". Tunataka specialist wa kufanya matokeo; sio specialist wa midomo iliyojaa matusi. We are in 22nd century not in 19th
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sultan Qaboos karibu Tanzania

    Hii ndio " negative thinking" - kuna watu wameumbwa kutukatana tu; vichwa vyao full of chuki na akili isoyofikiria positive,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, yupi atakayefaa kumrithi Dr. Magufuli urais 2025?

    Kwa nini siyo. Mimi? 1.0 Ntawapeni uhuru wa kazi au kulala 2,0 Mtawapeni shahadab
  12. M

    JamiiForums Tanzania Saudh Arabia inavyohujumu Nchi za Somali na Yemen Sababu ya Mafuta

    Na wewe ni Mbwa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Saudh Arabia inavyohujumu Nchi za Somali na Yemen Sababu ya Mafuta

    Na wewe ni Mbwa?
  14. M

    JamiiForums Tanzania KUWAIT: Akamatwa kwa kumrekodi mfanyakazi wake(Muethiopia) akijirusha kutoka ghorofani

    MHESHIMIWA RAISI MIMI NIKIWA MUOMANI NAKUUNGA MKONO KUPIGA MARUFUKU NDUGU ZETU WATANZANIA KUJA KUFANYA KAZI UARABUNI. UKWELI HAKUNA HATA SIKU MOJA TUMESIKIA KHERI ZA WA OMAN TOKA NDUGU ZETU WATANZANIA WANAO KUJA KUFANYA KAZI HUKU OMAN BALI KILA KUKICHA WARABU NI WABAYA. SASA HAWA NDUGU ZETU...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Sio mara ya kwanza kusikia unafiki Haijafika miezi 6 imerudiwa tena Ile ilikanushwa http://www.foreign.go.tz/index.php/en/resources/view/taarifa-ya-ufafanuzi-kuhusu-habari-za-watanzania-kuteswa-katika-nchi-za-mas
Back
Top Bottom