Je, yupi atakayefaa kumrithi Dr. Magufuli urais 2025?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Habari zenu wanaJF! Mara nyingi nahisi nina kipaji cha kubashiri jambo likawa kweli.
Wafuatao kuna mmoja anafaa kumrithi JPM ama kukabidhiwa Ofisi kuu ya nchi Magogoni DODOMA mwaka 2025. JE NINA ATATUFAA ZAIDI KATI YA HAWA?
1. Suleiman Jaffo
2. Hussein Mwinyi
3. Paul Makonda
4. Prof. Makame Mbarawa
5. Prof. Ndalichako
-----+++++++++++++------
 
uchafu mtupu hapo weka majina wengine
 
Habari zenu wanaJF! Mara nyingi nahisi nina kipaji cha kubashiri jambo likawa kweli.
Wafuatao kuna mmoja anafaa kumrithi JPM ama kukabidhiwa Ofisi kuu ya nchi Magogoni DODOMA mwaka 2025. JE NINA ATATUFAA ZAIDI KATI YA HAWA?
1. Suleiman Jaffo
2. Hussein Mwinyi
3. Paul Makonda
4. Prof. Makame Mbarawa
5. Prof. Ndalichako
-----+++++++++++++------
Makonda au mbarawa.
 
January Makamba wewe huoni amekuwa kimya ameambiwa dogo acha haraka kaa kimya tukuandae
 
Mleta mada kuna baadhi ya majina hapo hukustahili kuyaweka kundi moja kabisa. Ni kukosa heshima.

Yaani unamweka kundi moja prof. ndalichako na bashite kweli:(:(, kukoseana nidhamu huku:mad::mad:
 
Back
Top Bottom