Vyombo vya habari vinasema myahudi wewe unakataa.....
Umekariri Muisrael ni lazima awe Mweupe na kama mzungu
Wayahudi kuna mpaka weusi kabisa kama waafrika....acha kukariri mkuu
Pichani hapo ni Raisi wa Israel Reuven Rivlin akiwasalimia baadhi ya wanajeshi wa Israel katika sikukuu ya Mashujaa huko kwao...
Ukiangalia picha vizuri kuna Wengine ni weusi kabisa....
Unaposikia mtu anasema wayahudi usikimbilie Kuangalia ngozi ya mwili kuna wayahudi wapo wengi duniani lakini siyo raia wa Israel..
Mfano
Aliyekuwa mmiliki wa Manchester United Malcom Glazer alikuwa myahudi lakini alikuwa ni Raia wa Marekani....wala hakuwahi kuishi Israel...
Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich naye ni Myahudi Japokuwa ni Raia wa Urusi.....akienda israel ni kama mtalii tu
Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg ni Myahudi lakini anaishi ni Raia wa USA
Aliyekuwa Raisi wa USA Bill clinton naye alikuwa Myahudi
Badu kuna watu wengine weusi kabisa na wengine ni Waarabu lakini ni Raia wa Israel na wanatumikia Taifa lao katika nyanja muhimu ikiwemo Jeshini, Na Idara za Kijasusi za Taifa lao.....