Katika kueleka Mwaka mmoja wa Magufuri, CCM bado yashindwa kuvilipa vyombo vya habari
Wakati Rais,John Pombe Magufuri akikaribia kutimiza mwaka mmoja tangu achaguliwe kuiongoza Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), bado kimekaa kimya juu ya madai ya vyombo vya habari vilivyotoa matangaza ya...
Magufuri na CCM vilipeni vyombo vya habari vilivyotoa matangazo ya kampeni 2015
Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kinaendelea na danadana kwa kutovilipa vyombo vya habari ambavyo vilitoa matangazo kwa ajili ya kampeni ya Rais na wabunge kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Oktaba mwaka jana...
CHADEMA wamtaka Sumaye kuchukua nafasi ya Lowassa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kipo katika mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Chadema kumkibilia Sumaye inafuatia hali ya afya ya mgombea urais wa...
Tume ya marekebisho ya katiba chini ya jaji sinde warioba, imediriki kuinyima Jambo Leo tangazo la rasimu ya katiba yenye kurasa 20, kisa gazeti hilo kuendelea na kampeni ya kutaka serikali mbili badala ya serikali tatu ambayo tume ya katiba inaupigia debe.
Uamuzi huo wa jaji warioba na tume...
Nasikia gzeti la jambo leo limenyimwa kuchapishwa rasimu ya katiba page 20 kisa, wanaishabikia ccm kwa kutaka serikali bili ilhali tume inataka serikali tatu.haya tuone sasa jambo leo itaweza kuibomoa tume au ndio funika kombe mwanaharamu apite
Mheshimiwa Rais, tumeambiwa bodi ya ngorngoro ipo mezani kwako karibu mwaka mzima sasa hii taasisi nyeti ya serikali haina bodi, kwa kulionea huruma hili shirika unaombwa kutangaza hiyo bodi haraka maana wajanja wachache wanajichotea mamilioni kila siku, lakini pia uendeshaji wa shirika hilo...
Katibu Mkuu wa CCM, Abraham Kinana amekisusa chama cha mapinduzi kufuatia Rais kuwarudisha mawaziri mizigo katika baraza la mawaziri, pamoja na wao kupendekeza mawasili hao wafukuzwe kazi.Kufuatia kurudishwa kwao Kinana hajakanyaga ofisi za chama Lumumba, amezima simu zake zote.
Hata le wenye...
Nina wasiwasi na uwezo wa uongozi wa Bw. malinzi,sidhani Kama atakuja kubadilisha mfumo mzima wa soka na Jamaa Amelia kuvuruga kabisa mfumo mzima aliyowacha leodga renga.so saad
Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro inapoteza mamilioni ya fedha kila siku na utendaji kusimama kwa kukosa bodi, hatua ya Wizara ya Maliasili na utalii kukaa kimya bila kuteua bodi kwa muda mrefu kumetoa mwanya kwa wajanya wachache waliopo ndani ya mamlaka hiyo kujivunia mamilioni kila siku, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.