Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Maswali:
1. Kwanini Malinzi amueleze Lowasa mipango ya TFF Lowasa na si Waziri wa Michezo?
2. Kuna uwezekano Malinzi ameona mbali kule October, 2015?
3. Malinzi haogopi nguvu ya Nape na Mangula?
4. Baada ya kumweleza mikakati, Je, Lowasa alimuahidi nini Malinzi?