Recent content by Mjumbe255

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu za CHADEMA ndizo zimesababisha watumishi wa umma wasiongezewe mishahara

    Chadema inajaza ess?
  2. M

    JamiiForums Tanzania What is your dream car?

    Discovery
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili baada ya kupangiwa kituo cha kazi

    mm nilikutana na kitu kama hiki ila nikaona isiwe tabu nikaenda kufanya usaili Taasisi B waliniita usaili mda huo namiezi mitatu tamisemi, nilifanikiwa kupita usaili wa written na nikaenda kufanya oral pia lakin majibu yalivyotoa sikuitwa kazini, so maybe ni kweli ukipata kazi huwezi pangiwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania yangu

  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili baada ya kupangiwa kituo cha kazi

    kama unaweza tusaidia maelezo zaidi itatufaa ndugu, inawezekanaje, wengine tupo tamisemi hata bado hatujathibitishwa ila kuna nafasi kwenye taasisi za umma zinatangazwa na zinamasilahi mazuri tunashinddwa kwenda kufanya usaili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Oral TBS unakuwaje?

    Habari wadau, kwa yeyote anaefahamu usaili wa oral TBS upoje kwa nafasi ya esearch, quality assurance or inspection officer unakwaje?, maswali gani ni common sana? au kama umewahi fanya usaili wa TBS na unakumbuka maswali uliyoulizwa nomba tusaidie tuwaokoe vijana na Mungu akubariki.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  8. M

    JamiiForums Tanzania TBS interviews

    Haiwezekani
  9. M

    JamiiForums Tanzania TBS interviews

    Mkuu ukipata zaidi naomba tusaidie washatuita kwenye usaili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Ushawai kutana na mazingira anayosemea uyu jamaa au unazungumzia uafrica tu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania TBS wanaita lini interview?

    Ni tangu mwezi wa kumi mwaka 2024 TBS walitoa tangazo la nafasi za kazi kwa kada mbali mbali mpaka sasa kimya au waliita watu kimya kimya?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Asante sana mkuu nalishughulikia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Asante kwa muongozo Boss
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Interview tulifanya wote angefaulu tu
Back
Top Bottom