Maajabu ya Tanzania yangu

Maajabu ya Tanzania yangu

Shukurani.

Wanaposema "hizi ni nafasi za Ajira mpya" wanamaanisha sharti hili ni kwa kazi mpya (newly created jobs) au nafasi zilizotangazwa tu kwa mfano kazi ipo siku nyingi ila mtu kastaafu inatangazwa vacancy mpya kwa kazi ambayo ipo siku nyingi?
Naaam,
Naamini ni kazi ambazo zipo siku nyingi.Lakini mkuu ukifuatilia vzr utaona kuwa utumishi kazi nyingi wanasema kabisa kuwa husiombe km ww ni mtumishi wa umma tayari.Hiyo nimepick randomly km risiti ili nikuoneshe km ulivoomba.
 
Ukieleweshwa utaelewa. Mtu ana diploma ya ualimu kafanya kazi miaka mitano akaomba kwenda kusoma, akaenda kusoma digrii ya uhasibu, akirudi zikitangazwa kazi za uhasibu anaomba kuhamia huko. Na kama hujui zipo kazi kabisa huwa zinatangazwa za watu kuhamia tu, sio za ajira mpya. Huyo mtu akiondoka kwenye position yake atatafutwa mwingine wa kuziba nafasi yake, ni yaleyale kijana wangu
Vema sana
Sasa mimi siongelei kuhama ila naongelea ajira mpya yan it doesn't sound to me kuwa una ajira ila unataka tena na wale wasio na ajira je? Otherwise kufanyike utaratibu kuwa wao wasiopapenda uko wahame ila awa wasio na ajira ambazo zimechukuliwa na wenye ajira basi wao wapangiwe uko ili kuwe na uwiano sawia.Lengo ni kila mmoja apate na sio watu flan flan tu wapate keki ya taifa.
 
Wanajamvi habari zenu,
Hii nchi ukitafakari sana inashangaza mno.

Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na kazi serikarini anaomba tena serikarini na anapata ila yule asiye na kazi akiomba hapati.

Juzi namsikiliza Kamishna mkuu wa TRA bila aibu anasema eti anawapa wale walio na kazi selikarini siku sijui 21 za kuripoti. Binafsi yangu nilitarajia pale pale kigezo cha kuwa na check namba tu iwe ndo tiketi ya moja kwa moja ya kutopata kazi serikarini unless uache kwanza ndio uombe tena.

Imagine kama trend ndio hii basi tatizo la ajira haliwezi kuisha kamwe na kila siku serikali itakuwa inaingia hasara kuajiri watu alafu wanaomba tena serikarini hapo hapo.Nonsense kabisa.

Kama mtu haridhiki kukaa Chato au Nachingwea anataka kukaa Posta Dsm afanye utaratibu wa kuama tu ila sio kuomba ajira tena na kuwabania vijana wetu wanaozunguka mtaani

Nawasilisha.
Unalaumu bure ndugu. Angalia waasisi wa hilo ni wanasiasa. Subiri oktoba utaona ma-RC, ma-RAS, DAS, DED, RC, Wakurugenzi na maafisa wa serikali wakiomba ubunge majimboni. Kwa nini wasiwaachie jobless waombe hizo nafasi???

Huu ndio mfumo wa kibepari, ukiwa dhaifu hauna chako. Nashauri jobless wenzangu wapambane tu kwenye usaili wawe best candidates. Hata hivyo kati nafasi 1500 za ajira za TRA kumbe hao wenye kazi hata 200 hawafiki. Unaona jinsi jobless zaidi ya 1300 wametoboa. Kulalamika hakusaidii.

Naibu Spika wa bunge aliomba Uspika wa bunge. Mifano ipo mingi. Naishia hapo Restless Hustler
 
Wanajamvi habari zenu,
Hii nchi ukitafakari sana inashangaza mno.

Nimekaa nawaza hapa,Taasisi za serikali zikitangaza ajira bado walioko serikarini wanaomba pia,Maajabu zaidi ni pale mtu aliye na kazi serikarini anaomba tena serikarini na anapata ila yule asiye na kazi akiomba hapati.

Juzi namsikiliza Kamishna mkuu wa TRA bila aibu anasema eti anawapa wale walio na kazi selikarini siku sijui 21 za kuripoti. Binafsi yangu nilitarajia pale pale kigezo cha kuwa na check namba tu iwe ndo tiketi ya moja kwa moja ya kutopata kazi serikarini unless uache kwanza ndio uombe tena.

Imagine kama trend ndio hii basi tatizo la ajira haliwezi kuisha kamwe na kila siku serikali itakuwa inaingia hasara kuajiri watu alafu wanaomba tena serikarini hapo hapo.Nonsense kabisa.

Kama mtu haridhiki kukaa Chato au Nachingwea anataka kukaa Posta Dsm afanye utaratibu wa kuama tu ila sio kuomba ajira tena na kuwabania vijana wetu wanaozunguka mtaani

sio kwamba hawaridhiki sikiliza unakuta mtu yupo TAMISEMI analipwa 765k ni bachelor degree na Taasisi mfano Vyuo au TRA wanatangaza nafasi ya taaluma yake mshahara 1.8M wewe ungeacha kufanya kwasababu ni muajiriwa?Tusiwakaunu waajiriwa wanaoomba kazi hata serikali inaelewa ndio maana inawaruhusu wewe kama unataka iyo kazi soma faulu usaili, hatakama wasipoomba kama huna uwezo hutapata tu.
 
  • Thanks
Reactions: fox
Vema sana
Sasa mimi siongelei kuhama ila naongelea ajira mpya yan it doesn't sound to me kuwa una ajira ila unataka tena na wale wasio na ajira je? Otherwise kufanyike utaratibu kuwa wao wasiopapenda uko wahame ila awa wasio na ajira ambazo zimechukuliwa na wenye ajira basi wao wapangiwe uko ili kuwe na uwiano sawia.Lengo ni kila mmoja apate na sio watu flan flan tu wapate keki ya taifa.
Ahaa kinachokuumkza wewe ni kitendo cha mtu mwenye ajira kuomba ajira nyingine wakati kuna watu hawana kabisa. Sheria bado ni ileile kijana wangu, ukiwa ndani ya system ni rahisi kuhama na kuifikia nafasi flani kuliko ukiwa nje ya system. Pia kuna mdau amekujibu hapo juu kuwa, mwajiri hatangazi ajira ili kukuokoa wewe nawe upate ajira, anatangaza ajir ili kupata mtu sahihi wa kuifanya kazi iliyopo. Kama mtu sahihi tayari ana ajira nyingine, hio haimuondolei sifa na haki ya kuomba kazi yenye maslahi zaidi ya ile aliyonayo.
 
Back
Top Bottom