Haya ni makasiriko tuu... Wakati yanga inacheza tusisahau na wapinzani nao wanacheza, wakati yanga inapanga mbinu za kuwafungua wapinzani ,tusisahau kuwa nao wapinzani wanatafta namna ya kuwafungua Yanga.
Maneno yako ni ya yule mwehu ambaye hajawahi kucheza mpira.
Hivi Kuna kupumzika kwa kula ufisadi alofisadi kipindi yupo ikulu ama kupumzika kwa kurejesha mali zote za wananchi?
Hii serikali ya Malawi, tutashuhudia mengi sana.
Ukimsikikiza dogo kwa kutumia moyo utaelewa dogo anasema hisia Kali zenye kuonesha kukatishwa tamaa na kusalitiwa na nchi pamoja na mifumo dhalimu.
Elimu duni ambayo haijampa SULUHU la kupata ujuzi Ili ajipatie mkate
Mfumo wa ajira kandamizi ambao haumtambui asiyekuwa na vyeti Wala kutambua...
Kwamba kuwasafirisha kwenye malori kwani wao ni mang'ombe???
Wao wanatembelea Mav8, ama na wao washuke wapande hayo malori.
Anyway Sina kazi ya kufanya that's why nimecomment
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.