Recent content by mjukuum

  1. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Polisi mpaka sasa wananizungusha naombeni msaada

    Unatengemea kabisa
  2. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadau wanajamii forum mnabeza mtandao wa TikTok.

    Na haina mda itakufa
  3. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Nilianza kumpuzaa alipopewa ten m pale Arusha akamsujudia nikamwonea huruma aliposema mondi ni mchungaji
  4. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Ni mkoa ambao sijawahi kuwaza kutembelea
  5. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni kutamu jamani

    Moja ya mikoa ambayo sasa naiweka kwenye ratiba zangu nikipata hata pumziko la siku Moja ni dodoma aiseee Kuna sehem Kuna supu ya ulimi ni noma kweli kweli[emoji28][emoji28]
  6. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Aisee kwann usiandike kitabu unaonekana kama umefupisha TU hapa
  7. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Swali langu Kwa mabeo ni akina nani hao walikuwa wanataka kuizunguka katiba na kwann nae aliamua kukaidi agizo la amri jeshi mkuu
  8. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

    Hata ikiwa Bure labda nisiwe na kazi kama baba levo
  9. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima wowote wa wasabato kupeleka pesa USA makao makuu ya kanisa?

    Unaumia na utaratibu wao pole sana
  10. mjukuum

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwamba ajenga fremu kituo cha Mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Ninapita pale Kila siku na ninajiuliza Kila siku yaani Kuna watu wababe aiseee na ninadhani mfumo wetu uko hoi sana na anzia kwenye pale kwenye soko la zakihem hazifunguliwa kumbe Kuna wajanja walishanikabidhi kabla ya kuwapa wale waliokuwepo k Mwanzo akili za ccm na serikali yake zimekwama...
  11. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

    Umejibu kirahisi sana na Kuna watu watakuona kama chawa wake ila huna elimu ya uchawa
  12. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ajimwagia mafuta ya taa na kujichoma moto mpaka kufa

    Nataka kuuliza nani kajua kajichoma je kama Kuna mtu amefanya ya kibwetele Kikubwa Mungu atusaidie
  13. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

    No bad ila umeniwahi Nawatakia Heri ya Christmas [emoji319] na mwaka mpya Kwa Wana wooooooote niliowakuta humu na walionikuta humu Niko kitambo na Mimi tangu 2018
  14. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 nakubali nimekwama

    Pole sana mkuu inawezekana ofisi ulifungua kinyume na location [emoji17][emoji17][emoji17]
  15. mjukuum

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye kuvuta pumzi ya bure, na apite hapa kusifu na kushukuru

    Mungu uaminifu wake kwangu siwezi kusogeza hata hatua Moja bila uwepo wake
Back
Top Bottom